Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger. Wana consistency, wanajiamini na timu ina maelewano ya hali ya juu.

Jana baada tu ya refa kupuliza filimbi, Arsenal hawakuwa wameji organise defensive..Bournemouth waka take advantage na kupata goli la mapema zaidi, ukizingatia ni timu ambayo ilikuja Emirates defensive minded kupata goli la haraka ilikuwa advantage kwao.

Bournemouth walirudi na kuamua kucheza counter attacks tu na kuwaacha Arsenal wamiliki mpira muda mwingi, hii strategy iliwapa shida Arsenal na kuwapatia goli la 2 Bournemouth.

At the end quality matters, Arsenal walikuwa calm and patient, sub surprise ya Reiss Nelson nadhani haikuwepo vichwani kwa watu wengi na haku disappoint. A hard fought win. Arsenal wana Champions mentality at this moment.