Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger. Wana consistency, wanajiamini na timu ina maelewano ya hali ya juu.

Jana baada tu ya refa kupuliza filimbi, Arsenal hawakuwa wameji organise defensive..Bournemouth waka take advantage na kupata goli la mapema zaidi, ukizingatia ni timu ambayo ilikuja Emirates defensive minded kupata goli la haraka ilikuwa advantage kwao.

Bournemouth walirudi na kuamua kucheza counter attacks tu na kuwaacha Arsenal wamiliki mpira muda mwingi, hii strategy iliwapa shida Arsenal na kuwapatia goli la 2 Bournemouth.

At the end quality matters, Arsenal walikuwa calm and patient, sub surprise ya Reiss Nelson nadhani haikuwepo vichwani kwa watu wengi na haku disappoint. A hard fought win. Arsenal wana Champions mentality at this moment.

[QUOTE="Brenda, post: 3540, member: 464"] Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger. Wana consistency, wanajiamini na timu ina maelewano ya hali ya juu. Jana baada tu ya refa kupuliza filimbi, Arsenal hawakuwa wameji organise defensive..Bournemouth waka take advantage na kupata goli la mapema zaidi, ukizingatia ni timu ambayo ilikuja Emirates defensive minded kupata goli la haraka ilikuwa advantage kwao. Bournemouth walirudi na kuamua kucheza counter attacks tu na kuwaacha Arsenal wamiliki mpira muda mwingi, hii strategy iliwapa shida Arsenal na kuwapatia goli la 2 Bournemouth. At the end quality matters, Arsenal walikuwa calm and patient, sub surprise ya Reiss Nelson nadhani haikuwepo vichwani kwa watu wengi na haku disappoint. A hard fought win. Arsenal wana Champions mentality at this moment. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Last time Arsenal walikuwa kwenye ubora huu ilikuwa enzi za prime Arsene Wenger
Top
Bottom