Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Lewandowski Mchezaji Bora wa FIFA 2021.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka Poland ambaye anakipiga Bayern Munich Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora wa mwaka 2021 wakati mshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo akitwaa tuzo maalumu.

Lewandowski, 33, ametwaa tuzo hiyo ikiwa ni mara ya pili mfululizo ambapo katika kipindi hicho ametupia bao 69 akimshinda Lionel Messi na Mohamed Salah wa Liverpool.

Ronaldo ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa muda wote kimataifa. Lewandowski moja ya washambuliaji hatari kwa hivi sasa duniani, alivunja rekodi ya Mjerumani Gerd Muller ya miaka 49, ambapo alifunga goli 43 katika mechi 34 za Ligi kwenye kipindi kimoja cha msimu.

[QUOTE="Amir, post: 449, member: 20"] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/407.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka Poland ambaye anakipiga Bayern Munich Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora wa mwaka 2021 wakati mshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo akitwaa tuzo maalumu. Lewandowski, 33, ametwaa tuzo hiyo ikiwa ni mara ya pili mfululizo ambapo katika kipindi hicho ametupia bao 69 akimshinda Lionel Messi na Mohamed Salah wa Liverpool. Ronaldo ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa muda wote kimataifa. Lewandowski moja ya washambuliaji hatari kwa hivi sasa duniani, alivunja rekodi ya Mjerumani Gerd Muller ya miaka 49, ambapo alifunga goli 43 katika mechi 34 za Ligi kwenye kipindi kimoja cha msimu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Lewandowski Mchezaji Bora wa FIFA 2021.
Top
Bottom