Licha ya Ronaldo kutokufika Fainali ya World Cup,Ni kwanini Ronaldo Ndio Mchezaji Pendwa sana Dunia Kuliko Messi.

kidudumtujr

Mgeni
Dec 14, 2022
50
70
5
Tanzania
Christiano Ronaldo Dos Santos Aveiro,Kijana wa Kireno aliozaliwa Tarehe 5,February Mwaka 1985,Funchat,Madeira,Ureno.

Ronaldo Ndio Mchezaji anaefuatiliwa sana Duniani,Mshindi Mara tano wa Ballon d’Or,Licha ya kuwa na Mafanikio Makubwa sana Uwanjani Ronaldo ni Mtu mwenye Ubinaadamu.!

Namaanisha Kuwa Ronaldo Hufanya Mambo Nje ya Mpira wa Miguu ambayo huwanufaisha Wanajamii moja kwa moja.

Wacha nikujuze Christiano Ronaldo Amewahi kuuza Moja “Golden Boots”alizowahi kushinda ili tu awasaidie watoto wanaoishi kwenye Maisha magumu Nchini Palestine 🇵🇸

Golden Boot hiyo aliiuza kwa Thamani ya Dollar 1.67 million na zote zikaenda kuwasaidia watoto huko palestine..!!

Unafahamu Kwanini Ronaldo Hakuwahi hata kuwaza kuwa na Tatto Mwilini Mwake Licha ya ustaa alionao??

Naendelea kukujuza Kuwa Christiano Ronaldo ni Muumini Mkubwa sana wa Kuchangia Damu Hufanya hivyo Mara kadhaa,Hiyo ni moja ya sababu inayomzui kutokua na Tattoo.

Pamoja na Hayo yote Ronaldo anaendelea kuwa Mchezaji Bora mwenye Ubinaadamu Ndani yake.

Hizo ni Moja ya sababu zinazomfanya Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United Kupendwa.

Tukutane Baadae kwa Leo tuishie Hapo.🤝DD2336D7-FB21-4F65-8B86-EBE4FCB3A268.jpeg
 
ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Christiano Ronaldo Dos Santos Aveiro,Kijana wa Kireno aliozaliwa Tarehe 5,February Mwaka 1985,Funchat,Madeira,Ureno.

Ronaldo Ndio Mchezaji anaefuatiliwa sana Duniani,Mshindi Mara tano wa Ballon d’Or,Licha ya kuwa na Mafanikio Makubwa sana Uwanjani Ronaldo ni Mtu mwenye Ubinaadamu.!

Namaanisha Kuwa Ronaldo Hufanya Mambo Nje ya Mpira wa Miguu ambayo huwanufaisha Wanajamii moja kwa moja.

Wacha nikujuze Christiano Ronaldo Amewahi kuuza Moja “Golden Boots”alizowahi kushinda ili tu awasaidie watoto wanaoishi kwenye Maisha magumu Nchini Palestine 🇵🇸

Golden Boot hiyo aliiuza kwa Thamani ya Dollar 1.67 million na zote zikaenda kuwasaidia watoto huko palestine..!!

Unafahamu Kwanini Ronaldo Hakuwahi hata kuwaza kuwa na Tatto Mwilini Mwake Licha ya ustaa alionao??

Naendelea kukujuza Kuwa Christiano Ronaldo ni Muumini Mkubwa sana wa Kuchangia Damu Hufanya hivyo Mara kadhaa,Hiyo ni moja ya sababu inayomzui kutokua na Tattoo.

Pamoja na Hayo yote Ronaldo anaendelea kuwa Mchezaji Bora mwenye Ubinaadamu Ndani yake.

Hizo ni Moja ya sababu zinazomfanya Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United Kupendwa.

Tukutane Baadae kwa Leo tuishie Hapo.🤝View attachment 882
Ronaldo 🙏🏿