Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Licha ya Ronaldo kutokufika Fainali ya World Cup,Ni kwanini Ronaldo Ndio Mchezaji Pendwa sana Dunia Kuliko Messi.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Christiano Ronaldo Dos Santos Aveiro,Kijana wa Kireno aliozaliwa Tarehe 5,February Mwaka 1985,Funchat,Madeira,Ureno.

Ronaldo Ndio Mchezaji anaefuatiliwa sana Duniani,Mshindi Mara tano wa Ballon d’Or,Licha ya kuwa na Mafanikio Makubwa sana Uwanjani Ronaldo ni Mtu mwenye Ubinaadamu.!

Namaanisha Kuwa Ronaldo Hufanya Mambo Nje ya Mpira wa Miguu ambayo huwanufaisha Wanajamii moja kwa moja.

Wacha nikujuze Christiano Ronaldo Amewahi kuuza Moja “Golden Boots”alizowahi kushinda ili tu awasaidie watoto wanaoishi kwenye Maisha magumu Nchini Palestine

Golden Boot hiyo aliiuza kwa Thamani ya Dollar 1.67 million na zote zikaenda kuwasaidia watoto huko palestine..!!

Unafahamu Kwanini Ronaldo Hakuwahi hata kuwaza kuwa na Tatto Mwilini Mwake Licha ya ustaa alionao??

Naendelea kukujuza Kuwa Christiano Ronaldo ni Muumini Mkubwa sana wa Kuchangia Damu Hufanya hivyo Mara kadhaa,Hiyo ni moja ya sababu inayomzui kutokua na Tattoo.

Pamoja na Hayo yote Ronaldo anaendelea kuwa Mchezaji Bora mwenye Ubinaadamu Ndani yake.

Hizo ni Moja ya sababu zinazomfanya Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United Kupendwa.

Tukutane Baadae kwa Leo tuishie Hapo.[ATTACH=full]882[/ATTACH]

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2240, member: 572"] Christiano Ronaldo Dos Santos Aveiro,Kijana wa Kireno aliozaliwa Tarehe 5,February Mwaka 1985,Funchat,Madeira,Ureno. Ronaldo Ndio Mchezaji anaefuatiliwa sana Duniani,Mshindi Mara tano wa Ballon d’Or,Licha ya kuwa na Mafanikio Makubwa sana Uwanjani Ronaldo ni Mtu mwenye Ubinaadamu.! Namaanisha Kuwa Ronaldo Hufanya Mambo Nje ya Mpira wa Miguu ambayo huwanufaisha Wanajamii moja kwa moja. Wacha nikujuze Christiano Ronaldo Amewahi kuuza Moja “Golden Boots”alizowahi kushinda ili tu awasaidie watoto wanaoishi kwenye Maisha magumu Nchini Palestine 🇵🇸 Golden Boot hiyo aliiuza kwa Thamani ya Dollar 1.67 million na zote zikaenda kuwasaidia watoto huko palestine..!! Unafahamu Kwanini Ronaldo Hakuwahi hata kuwaza kuwa na Tatto Mwilini Mwake Licha ya ustaa alionao?? Naendelea kukujuza Kuwa Christiano Ronaldo ni Muumini Mkubwa sana wa Kuchangia Damu Hufanya hivyo Mara kadhaa,Hiyo ni moja ya sababu inayomzui kutokua na Tattoo. Pamoja na Hayo yote Ronaldo anaendelea kuwa Mchezaji Bora mwenye Ubinaadamu Ndani yake. Hizo ni Moja ya sababu zinazomfanya Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United Kupendwa. Tukutane Baadae kwa Leo tuishie Hapo.🤝[ATTACH type="full" alt="DD2336D7-FB21-4F65-8B86-EBE4FCB3A268.jpeg"]882[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Licha ya Ronaldo kutokufika Fainali ya World Cup,Ni kwanini Ronaldo Ndio Mchezaji Pendwa sana Dunia Kuliko Messi.
Top
Bottom