Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mtibwa Yaahidi Kuitibulia Yanga

UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari 23, mwaka huu ambapo Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro.

Ikumbukwe kuwa, Mtibwa Sugar wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo kwa mabao 3-1 pamoja na kutolewa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Coastal Union kwa kipigo cha 2-0 mbele ya Coastal Union.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema wanafahamu kwamba mchezo dhidi ya Yanga utakuwa wa mwisho kumaliza mzunguko wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, hivyo kutokana na nafasi mbaya waliyopo kwenye msimamo, lazima wahakikishe wanapata ushindi.

“Kikosi kinaendelea kunolewa na Kocha Mkuu Salum Mayanga, nafahamu kuwa Kocha Mayanga ana kazi kubwa sana ya kufanya mazoezini kuelekea mchezo huu kutokana na kupoteza michezo miwili iliyopita.

“Licha ya hivyo, lakini morali ya wachezaji ni kubwa, wanafahamu umuhimu wa mchezo huu, hivyo najua watafuata maelekezo muhimu ya mwalimu na watafanikiwa kuyatimiza.

“Mechi hii itakuwa moja ya mechi kubwa ya mzunguko wa kwanza kwenye ligi kwa sababu Yanga watahitaji kuendeleza rekodi ya ya kutopoteza, wakati Mtibwa tukihitaji alama tatu kujinasua kwenye nafasi mbaya tuliyopo.

“Tunafahamu Yanga haijafanikiwa kupoteza mchezo wowote wa ligi kuu tangu kuanza kwa msimu huu, lakini hilo halitutishi, tutahakikisha tunawaonjesha utamu wa pilipili uwanjani, tutawaonesha maana halishi ya ushindani, nawaambia tukutane Februari 23,” alisema Kifaru.

[QUOTE="Amir, post: 1014, member: 20"] [HEADING=1]Mtibwa Yaahidi Kuitibulia Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273849620_676194817073020_7348114598058763460_n.webp.jpg[/IMG] UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari 23, mwaka huu ambapo Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro. Ikumbukwe kuwa, Mtibwa Sugar wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo kwa mabao 3-1 pamoja na kutolewa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Coastal Union kwa kipigo cha 2-0 mbele ya Coastal Union. Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema wanafahamu kwamba mchezo dhidi ya Yanga utakuwa wa mwisho kumaliza mzunguko wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, hivyo kutokana na nafasi mbaya waliyopo kwenye msimamo, lazima wahakikishe wanapata ushindi. “Kikosi kinaendelea kunolewa na Kocha Mkuu Salum Mayanga, nafahamu kuwa Kocha Mayanga ana kazi kubwa sana ya kufanya mazoezini kuelekea mchezo huu kutokana na kupoteza michezo miwili iliyopita. “Licha ya hivyo, lakini morali ya wachezaji ni kubwa, wanafahamu umuhimu wa mchezo huu, hivyo najua watafuata maelekezo muhimu ya mwalimu na watafanikiwa kuyatimiza. “Mechi hii itakuwa moja ya mechi kubwa ya mzunguko wa kwanza kwenye ligi kwa sababu Yanga watahitaji kuendeleza rekodi ya ya kutopoteza, wakati Mtibwa tukihitaji alama tatu kujinasua kwenye nafasi mbaya tuliyopo. “Tunafahamu Yanga haijafanikiwa kupoteza mchezo wowote wa ligi kuu tangu kuanza kwa msimu huu, lakini hilo halitutishi, tutahakikisha tunawaonjesha utamu wa pilipili uwanjani, tutawaonesha maana halishi ya ushindani, nawaambia tukutane Februari 23,” alisema Kifaru. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom