Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Banda: Yanga haitegemei mtu, tutawakwamisha

BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amesema licha ya kucheza na Yanga isiyotegemea mchezaji mmoja kupata matokeo, ila Februari 23 wapinzani wao hao wajue wataziacha pointi tatu Uwanja wa Manungu.

Banda alikiri namna Yanga ilivyosukwa kucheza kitimu kuanzia kwa kipa hadi mshambuliaji, huku akiiona safu yake ya kiungo ndio injini inayopika mabao, pamoja na hilo haliwatishi kukabiliana nao katika mchezo huo.

“Yanga imeanza vyema msimu ikiwa kileleni mwa msimamo, hilo sio jambo dogo, inakuja kucheza nasi tunaojikwamua kutokana nafasi 14 ambayo siyo alama nzuri kwetu, huo mchezo utakuwa mgumu sana.” alisema na kuongeza; “Tayari tumejua maeneo ya kuwadhibiti, mfano kiungo inayowafanya washambuliaji wawe bora.”

[QUOTE="Amir, post: 1019, member: 20"] [HEADING=1]Banda: Yanga haitegemei mtu, tutawakwamisha[/HEADING] [IMG alt="yanga pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3724074/43bfacbb7088e53d0b118fccfbb63a9c/yanga-pic-data.jpg[/IMG] BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amesema licha ya kucheza na Yanga isiyotegemea mchezaji mmoja kupata matokeo, ila Februari 23 wapinzani wao hao wajue wataziacha pointi tatu Uwanja wa Manungu. Banda alikiri namna Yanga ilivyosukwa kucheza kitimu kuanzia kwa kipa hadi mshambuliaji, huku akiiona safu yake ya kiungo ndio injini inayopika mabao, pamoja na hilo haliwatishi kukabiliana nao katika mchezo huo. “Yanga imeanza vyema msimu ikiwa kileleni mwa msimamo, hilo sio jambo dogo, inakuja kucheza nasi tunaojikwamua kutokana nafasi 14 ambayo siyo alama nzuri kwetu, huo mchezo utakuwa mgumu sana.” alisema na kuongeza; “Tayari tumejua maeneo ya kuwadhibiti, mfano kiungo inayowafanya washambuliaji wawe bora.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom