Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mkwasa: Bado hatupo sawa kisaikolojia

LICHA ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Prisons, Kocha Mkuu Ruvu Shooting, Charles Mkwasa, amefunguka kuwa bado wachezaji wake hawajakaa sawa kisaikolojia kutokana na msiba wa aliyekuwa beki wa timu hiyo, Ally Mtoni maarufu Sonso.

Ruvu Shooting ilipoteza kwa mabao 7-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa raundi ya tano ya Kombe la Shirikisho la Azam uliopigwa Jumatano iliyopita, kabla ya juzi Jumapili kuibuka na ushindi dhidi ya Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Dimba la Sokoine, Mbeya.

Februari 11, mwaka huu, Ruvu Shooting ilipata pigo baada ya Sonso aliyekuwa akicheza beki wa kati kikosini hapo, kufariki kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya mguu.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mkwasa alifunguka kwamba: “Tumepata matokeo chanya ambayo tulikuwa tunayatarajia, ni jambo jema lakini bado vijana wangu hawapo sawa kisaikolojia kutokana na msiba mzito uliotukuta wa kumpoteza mchezaji wetu Sonso. “Itawachukua muda kidogo kurudi kwenye hali ya kawaida ukizingatia hata mchezaji ambaye alikuwa analala naye chumba kimoja bado hajawa sawa kisaikolojia na hajaungana na wenzake.

“Tunarudi nyumbani kuendelea na maandalizi kwa ajili ya michezo yetu inayofuata, hatupo kwenye nafasi nzuri katika msimamo wa ligi, hivyo tunahitaji kupambana ili tuweze kujinasua kwenye nafasi za chini.” Ruvu Shooting inashika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 15 baada ya kushuka dimbani katika mechi 15 wakishinda nne, sare tatu na kupoteza nane.

[QUOTE="vuligate, post: 1040, member: 123"] [HEADING=1]Mkwasa: Bado hatupo sawa kisaikolojia[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2020/10/picmkwasa.jpg[/IMG] LICHA ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Prisons, Kocha Mkuu Ruvu Shooting, Charles Mkwasa, amefunguka kuwa bado wachezaji wake hawajakaa sawa kisaikolojia kutokana na msiba wa aliyekuwa beki wa timu hiyo, Ally Mtoni maarufu Sonso. Ruvu Shooting ilipoteza kwa mabao 7-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa raundi ya tano ya Kombe la Shirikisho la Azam uliopigwa Jumatano iliyopita, kabla ya juzi Jumapili kuibuka na ushindi dhidi ya Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Dimba la Sokoine, Mbeya. Februari 11, mwaka huu, Ruvu Shooting ilipata pigo baada ya Sonso aliyekuwa akicheza beki wa kati kikosini hapo, kufariki kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya mguu. Akizungumza na Spoti Xtra, Mkwasa alifunguka kwamba: “Tumepata matokeo chanya ambayo tulikuwa tunayatarajia, ni jambo jema lakini bado vijana wangu hawapo sawa kisaikolojia kutokana na msiba mzito uliotukuta wa kumpoteza mchezaji wetu Sonso. “Itawachukua muda kidogo kurudi kwenye hali ya kawaida ukizingatia hata mchezaji ambaye alikuwa analala naye chumba kimoja bado hajawa sawa kisaikolojia na hajaungana na wenzake. “Tunarudi nyumbani kuendelea na maandalizi kwa ajili ya michezo yetu inayofuata, hatupo kwenye nafasi nzuri katika msimamo wa ligi, hivyo tunahitaji kupambana ili tuweze kujinasua kwenye nafasi za chini.” Ruvu Shooting inashika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 15 baada ya kushuka dimbani katika mechi 15 wakishinda nne, sare tatu na kupoteza nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom