Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata

TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.

Ndani ya michezo mitano iliyopita, Makata alijikuta akiongoza Dodoma Jiji kuambulia pointi moja tu dhidi ya Geita Gold na kukumbana na vipigo vinne, ikiwemo vitatu mfululizo ambavyo ni kama vilikoleza kuota nyasi kwa kibarua chake makao makuu ya nchi.

Taarifa rasmi iliyotolewa leo, Jumatano imeeleza kuwa,”Hatua hizi zimechukuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ya timu katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.”

[QUOTE="vuligate, post: 1049, member: 123"] [HEADING=1]Dodoma Jiji Yavunja Mkataba na Kocha Wao Makata[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/makata-pic.jpg[/IMG] TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo. Ndani ya michezo mitano iliyopita, Makata alijikuta akiongoza Dodoma Jiji kuambulia pointi moja tu dhidi ya Geita Gold na kukumbana na vipigo vinne, ikiwemo vitatu mfululizo ambavyo ni kama vilikoleza kuota nyasi kwa kibarua chake makao makuu ya nchi. Taarifa rasmi iliyotolewa leo, Jumatano imeeleza kuwa,”Hatua hizi zimechukuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ya timu katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.” [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274640813_690358438652403_4217034105660073528_n.jpg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom