Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Djuma aanza na pumzi

Kocha mpya wa timu ya Dodoma Jiji Masoud Jumaa ameanza rasmi kibarua cha kukinoa kikosi cha timu hiyo leo katika uwanja wa Jamhuri jijini hapa.

Masoud anachukua nafasi ya Mbwana Makata ambaye hivi karibuni amefungashiwa virago na uongozi wa timu hiyo sababu zikitajwa ni kutoridhishwa na matokeo ya timu hiyo.

Katika mazoezi ya Leo yaliyoanza majira ya saa 10 jioni Kocha huyo alianza kwa kutambulishwa kwa wachezaji na uongozi wa timu hiyo na kisha kuanza mazoezi ya mbio.

Akiwa na kocha Msaidizi Mohammed Muya,Jumaa alionekana kusisitizia mazoezi ya kutafuta pumzi ambapo muda wote alikuwa akibadilisha Koni na wachezaji wakikimbia katika koni hizo.

[QUOTE="mhariri, post: 1073, member: 122"] [HEADING=1]Djuma aanza na pumzi[/HEADING] [IMG alt="djuma pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3728746/2db3d71e406b13de082333e31a3dbd85/djuma-pic-data.jpg[/IMG] Kocha mpya wa timu ya Dodoma Jiji Masoud Jumaa ameanza rasmi kibarua cha kukinoa kikosi cha timu hiyo leo katika uwanja wa Jamhuri jijini hapa. Masoud anachukua nafasi ya Mbwana Makata ambaye hivi karibuni amefungashiwa virago na uongozi wa timu hiyo sababu zikitajwa ni kutoridhishwa na matokeo ya timu hiyo. Katika mazoezi ya Leo yaliyoanza majira ya saa 10 jioni Kocha huyo alianza kwa kutambulishwa kwa wachezaji na uongozi wa timu hiyo na kisha kuanza mazoezi ya mbio. Akiwa na kocha Msaidizi Mohammed Muya,Jumaa alionekana kusisitizia mazoezi ya kutafuta pumzi ambapo muda wote alikuwa akibadilisha Koni na wachezaji wakikimbia katika koni hizo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom