Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kifo cha Sonso chaitesa Ruvu

KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ‘Master’ amesema msiba wa beki wao, Ally Mtoni ‘Sonso’ bado unawatesa nyota wa kikosi cha timu hiyo na kama kocha ameamua kukomalia kuwajenga kisaikolojia ili wakae sawa.

Nyota huyo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, alisema licha ya ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Tanzania Prisons bado amewaona wachezaji wake hawako vizuri kutokana na kuondokewa na mchezaji mwenzao.

“Itawachukua muda kidogo kurudi katika hali yao ya kawaida ukizingatia hata mchezaji aliyekuwa akilala naye chumba kimoja bado hajawa sawa kisaikolojia, hivyo naendelea kuwajenga li kurejea kwenye hali zao za kawaida,” alisema Mkwasa na kuongeza;

“Tunaendelea na maandalizi ya michezo yetu inayofuata, kama unavyojua hatupo katika nafasi nzuri katika msimamo wa ligi, hivyo tunahitaji kupambana ili tuweze kujinasua kwenye nafasi za chini.”

Sonso aliyewahi kuzichezea Lipuli, Yanga, Kagera Sugar na pia timu ya taifa, Taifa Stars alifariki dunia Februari 11, 2022, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na matatizo ya mguu.

Ruvu kwa sasa ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 15 baada ya kushuka uwanjani katika mechi 15, ikishinda nne, sare tatu na kupoteza nane.

[QUOTE="mhariri, post: 1074, member: 122"] [HEADING=1]Kifo cha Sonso chaitesa Ruvu[/HEADING] [IMG alt="Sonso pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3721324/landscape_ratio16x9/1160/652/3601fea65e171808180fd35d7d6ca692/OL/sonso-pic.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ‘Master’ amesema msiba wa beki wao, Ally Mtoni ‘Sonso’ bado unawatesa nyota wa kikosi cha timu hiyo na kama kocha ameamua kukomalia kuwajenga kisaikolojia ili wakae sawa. Nyota huyo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, alisema licha ya ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Tanzania Prisons bado amewaona wachezaji wake hawako vizuri kutokana na kuondokewa na mchezaji mwenzao. “Itawachukua muda kidogo kurudi katika hali yao ya kawaida ukizingatia hata mchezaji aliyekuwa akilala naye chumba kimoja bado hajawa sawa kisaikolojia, hivyo naendelea kuwajenga li kurejea kwenye hali zao za kawaida,” alisema Mkwasa na kuongeza; “Tunaendelea na maandalizi ya michezo yetu inayofuata, kama unavyojua hatupo katika nafasi nzuri katika msimamo wa ligi, hivyo tunahitaji kupambana ili tuweze kujinasua kwenye nafasi za chini.” Sonso aliyewahi kuzichezea Lipuli, Yanga, Kagera Sugar na pia timu ya taifa, Taifa Stars alifariki dunia Februari 11, 2022, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na matatizo ya mguu. Ruvu kwa sasa ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 15 baada ya kushuka uwanjani katika mechi 15, ikishinda nne, sare tatu na kupoteza nane. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom