Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-1 SOKOINE

TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Mayanja Mululi dakika ya 38 na Omary Sultan dakika ya 75, wakati la Mbeya Kwanza limefungwa na Habib Kyombo kwa penalti dakika ya 41.

Kwa ushindi huo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya 13, wakati Mbeya Kwanza inabaki na pointi zake 13, ikishukia nafasi ya 15 katika ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="mhariri, post: 1094, member: 122"] [HEADING=2]MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-1 SOKOINE [/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgUTkI_727iVm0-4owSbcnOUGb-WiHEi0O4jcib4bq7gQap1GddENTC-Ubix_Ot33YCBmromA69ak3RSJ2Tneva0HYQolLeYn0qhYuClH-J1wyR-pwYTvHvBo_xxTzJFLmBonCa8YZCSwKQKpayq7xph8uGjPM1rodod2SrrP2lgYadBlwNVgT2hQzo=s1242'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgUTkI_727iVm0-4owSbcnOUGb-WiHEi0O4jcib4bq7gQap1GddENTC-Ubix_Ot33YCBmromA69ak3RSJ2Tneva0HYQolLeYn0qhYuClH-J1wyR-pwYTvHvBo_xxTzJFLmBonCa8YZCSwKQKpayq7xph8uGjPM1rodod2SrrP2lgYadBlwNVgT2hQzo=w640-h422[/IMG][/URL] TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Mayanja Mululi dakika ya 38 na Omary Sultan dakika ya 75, wakati la Mbeya Kwanza limefungwa na Habib Kyombo kwa penalti dakika ya 41. Kwa ushindi huo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya 13, wakati Mbeya Kwanza inabaki na pointi zake 13, ikishukia nafasi ya 15 katika ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom