Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MJUAJI: Rais alitaka Simba, Yanga jengo moja

UTAJUA haujui. Wanasiasa huwa na mambo yao! Mara nyingi huja na mipango ambayo wakati mwingine haiwezekani kutekelezeka.

Sijui ingekuwaje leo hii kutokana na uhasama uliopo kati ya Simba na Yanga, maana zimeshatoka kwenye utani wa jadi na kuwa na uadui mkubwa. Jambo hili lilitakiwa litokeee mwaka 1970.

Simba na Yanga zilitakiwa ziishi kwenye jengo moja ambalo lingejengwa kutokana na pesa za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hadi leo hii haijulikani jengo hilo lingejengwa maeneo gani, Kama ni Jangwani au Msimbazi. Wakati huo Simba ikiwa na maskani yake katika Mitaa ya Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam ilikataa mpango huo.

Chini ya uongozi wa Rais ya Simba, Ramadhani Kilundu na makamu wake, Juma Mzee, klabu hiyo iligomea mpango huo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar Abeid Amaan Karume.

Rais Karume aliwafuata viongozi hao na kuwaambia kwa kuwa wote ni wanamichezo na ni ndugu moja, walipaswa kuwa pamoja na kuendeleza udugu kwa kuishi kwenye jengo moja.

Ikumbukwe awali, Simba na Yanga zilikuwa timu moja zikiundwa na wakazi wa Dar es Salaam na wote walishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanzania. Mbali na wanasiasa wengine walikuwapo kina Rashid Kawawa na Abdul Sykes ambao walikuwa mashabiki wa Simba ile kindakindaki.

Viongozi wa Simba ambayo awali ilikuwa ikiitwa Sunderland walikataa mpango huo, huku wakifahamu kuwa Rais Karume alikuwa akiishabikia Yanga na wao hawakutaka kuishi pamoja na watani wao. Baada ya Simba kugomea, Rais Karume aliwapa kiasi kidogo cha pesa na kingine kikubwa zaidi alikipeleka kwenda kujenga jengo la Yanga pale katika mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam.

Kiasi kidogo walichopewa Simba waliongeza na michango ya wanachama wao, huku baadhi yao wakijitolea na kununua na kufyatua matofali na kufanikiwa kujenga jengo lililopo Mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, Simba ndio ilikuwa ya kwanza kumaliza jengo lao na kufuatiwa na Yanga na yote yalifunguliwa na Rais wa Zanzibar, Karume mwaka 1971. Mara nyingi viongozi wetu huwa wanakuja na mipango migumu kutekelezwa na kuwaacha watu midomo wazi na mipango mingi huwa inafeli.

Mfano Rais wa Kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta aliwahi kutaka Mashemeji Dabi ichezwe kila wikiendi kutokana na fedha nyingi ambazo zilikuwa zinaingizwa na timu za Gor Mahia na AFC Leopards. Mpango huo ulifeli. Ni kama ulivyofeli mpango mwingine wa Rais wa Kenya aliyemfuata Kenyatta, Daniel Moi. Yeye alinogewa na mafanikio ya Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars miaka ya 90.

Moi alitaka Harambee Stars ikiwa katika ubora wake iwe timu ya kudumu, yaani wachezaji wa timu hiyo wasizitumikie timu nyingine isipokuwa Harambe Stars tu!

Moi alikuwa tayari kuwapa nyumba za kuishi wachezaji wa Harambe Stars maeneo ya Kasarani karibu kabisa na ulipo uwanja mkubwa wa taifa hilo uliojengwa katika utawala wake wa Moi Kasarani.

Jambo hilo nalo lilishindikana, nyumba zilizojengwa zikapewa jeshi la Polisi la nchi hiyo! Juzi tu katika Afcon kule Cameroon, Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya aliwataka wachezaji wa nchi hiyo kubeba taji hilo la sivyo warudishe gharama zote walizotumia. Hayati Rais John Magufuli aliwahi kutamani kuwachukua wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kutoka jeshini. Kikubwa alichokuwa akikitaka Magufuli ni wachezaji kucheza kwa uzalendo ili kuisaidia timu ifanye vizuri zaidi kimataifa.

Kali zaidi Rais wa Ivory Coast, Félix Houphouët-Boigny

aliwahi kuipeleka timu ya taifa ya nchi yake jeshini na kwenda kuwapigasha kwata mbele ya bendera ya taifa ili kuwafundisha uzalendo. Kitendo hicho kilizaa matunda kwani mwaka 1992, Ivory Coast ilitwaa ubingwa wa Afcon kwa kuifunga Ghana kwa penalti 11-10.

Simba, Yanga zikae jengo moja? Tupe maoni yako;

[QUOTE="Amir, post: 1100, member: 20"] [HEADING=1]MJUAJI: Rais alitaka Simba, Yanga jengo moja[/HEADING] [IMG alt="Simba, Yanga PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3732068/landscape_ratio16x9/1160/652/3128a720765028f919abb6ad5b56a7ac/Rk/simba-yanga-pic.jpg[/IMG] UTAJUA haujui. Wanasiasa huwa na mambo yao! Mara nyingi huja na mipango ambayo wakati mwingine haiwezekani kutekelezeka. Sijui ingekuwaje leo hii kutokana na uhasama uliopo kati ya Simba na Yanga, maana zimeshatoka kwenye utani wa jadi na kuwa na uadui mkubwa. Jambo hili lilitakiwa litokeee mwaka 1970. Simba na Yanga zilitakiwa ziishi kwenye jengo moja ambalo lingejengwa kutokana na pesa za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hadi leo hii haijulikani jengo hilo lingejengwa maeneo gani, Kama ni Jangwani au Msimbazi. Wakati huo Simba ikiwa na maskani yake katika Mitaa ya Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam ilikataa mpango huo. Chini ya uongozi wa Rais ya Simba, Ramadhani Kilundu na makamu wake, Juma Mzee, klabu hiyo iligomea mpango huo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar Abeid Amaan Karume. Rais Karume aliwafuata viongozi hao na kuwaambia kwa kuwa wote ni wanamichezo na ni ndugu moja, walipaswa kuwa pamoja na kuendeleza udugu kwa kuishi kwenye jengo moja. Ikumbukwe awali, Simba na Yanga zilikuwa timu moja zikiundwa na wakazi wa Dar es Salaam na wote walishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanzania. Mbali na wanasiasa wengine walikuwapo kina Rashid Kawawa na Abdul Sykes ambao walikuwa mashabiki wa Simba ile kindakindaki. Viongozi wa Simba ambayo awali ilikuwa ikiitwa Sunderland walikataa mpango huo, huku wakifahamu kuwa Rais Karume alikuwa akiishabikia Yanga na wao hawakutaka kuishi pamoja na watani wao. Baada ya Simba kugomea, Rais Karume aliwapa kiasi kidogo cha pesa na kingine kikubwa zaidi alikipeleka kwenda kujenga jengo la Yanga pale katika mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam. Kiasi kidogo walichopewa Simba waliongeza na michango ya wanachama wao, huku baadhi yao wakijitolea na kununua na kufyatua matofali na kufanikiwa kujenga jengo lililopo Mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba ndio ilikuwa ya kwanza kumaliza jengo lao na kufuatiwa na Yanga na yote yalifunguliwa na Rais wa Zanzibar, Karume mwaka 1971. Mara nyingi viongozi wetu huwa wanakuja na mipango migumu kutekelezwa na kuwaacha watu midomo wazi na mipango mingi huwa inafeli. Mfano Rais wa Kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta aliwahi kutaka Mashemeji Dabi ichezwe kila wikiendi kutokana na fedha nyingi ambazo zilikuwa zinaingizwa na timu za Gor Mahia na AFC Leopards. Mpango huo ulifeli. Ni kama ulivyofeli mpango mwingine wa Rais wa Kenya aliyemfuata Kenyatta, Daniel Moi. Yeye alinogewa na mafanikio ya Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars miaka ya 90. Moi alitaka Harambee Stars ikiwa katika ubora wake iwe timu ya kudumu, yaani wachezaji wa timu hiyo wasizitumikie timu nyingine isipokuwa Harambe Stars tu! Moi alikuwa tayari kuwapa nyumba za kuishi wachezaji wa Harambe Stars maeneo ya Kasarani karibu kabisa na ulipo uwanja mkubwa wa taifa hilo uliojengwa katika utawala wake wa Moi Kasarani. Jambo hilo nalo lilishindikana, nyumba zilizojengwa zikapewa jeshi la Polisi la nchi hiyo! Juzi tu katika Afcon kule Cameroon, Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya aliwataka wachezaji wa nchi hiyo kubeba taji hilo la sivyo warudishe gharama zote walizotumia. Hayati Rais John Magufuli aliwahi kutamani kuwachukua wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kutoka jeshini. Kikubwa alichokuwa akikitaka Magufuli ni wachezaji kucheza kwa uzalendo ili kuisaidia timu ifanye vizuri zaidi kimataifa. Kali zaidi Rais wa Ivory Coast, Félix Houphouët-Boigny aliwahi kuipeleka timu ya taifa ya nchi yake jeshini na kwenda kuwapigasha kwata mbele ya bendera ya taifa ili kuwafundisha uzalendo. Kitendo hicho kilizaa matunda kwani mwaka 1992, Ivory Coast ilitwaa ubingwa wa Afcon kwa kuifunga Ghana kwa penalti 11-10. [B]Simba, Yanga zikae jengo moja? Tupe maoni yako;[/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom