Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bao La Mayele Lampa Ugonjwa Kifaru

BAO alilofunga mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, limesababisha msemaji timu hiyo, Thobias Kifaru apate homa ya ghafla iliyomfanya akae kimya kwa muda kupambania afya yake.

Yanga na Mtibwa zilikutana hivi karibuni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa mkoani Morogoro ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Saido Ntibazonkiza na Fiston Mayele.

Ikumbukwe siku chache kabla ya mchezo huo, msemaji huyo aliweka wazi mikakati yao ya kuhakikisha wanaifunga Yanga ikiwemo kumzuia mshambuliaji wao hatari Fiston Mayele kwa kumpa kazi kumkaba beki wao Ibrahim Ame lakini haikuweza kusaidia wasifungwe na mshambuliaji huyo.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Kifaru alisema kuwa amekuwa kimya kwa muda baada ya mchezo dhidi ya Yanga kwa kuwa alikuwa akiumwa baada ya kupata homa iliyotokana na maumivu ya kufungwa na Yanga.

“Tumeanza kukaa sawa kwa sababu tumefanikiwa kushinda mchezo wetu wa kwanza wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya Kwanza lakini nilikuwa kimya kwa sababu niliumwa baada ya mchezo wetu na Yanga hivyo nikawa napambania afya yangu kwa kuamua kukaa kimya.

“Kiukweli sikupendezwa na matokeo yale hasa safu ya ulinzi ilikuwa hovyo kabisa, sikutaka kusema kama nilikuwa naumwa ila yale matokeo yalinipa maumivu makali sana kutokana na historia ya hii timu jinsi ambavyo tuliianzisha mwaka 1983 lakini inaoneka vijana hawajui maumivu tunayopata,” alisema Kifaru.

[QUOTE="Amir, post: 1106, member: 20"] [HEADING=1]Bao La Mayele Lampa Ugonjwa Kifaru[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/122768385_200237015002006_326846353485678896_n.jpg[/IMG] BAO alilofunga mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, limesababisha msemaji timu hiyo, Thobias Kifaru apate homa ya ghafla iliyomfanya akae kimya kwa muda kupambania afya yake. Yanga na Mtibwa zilikutana hivi karibuni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa mkoani Morogoro ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Saido Ntibazonkiza na Fiston Mayele. Ikumbukwe siku chache kabla ya mchezo huo, msemaji huyo aliweka wazi mikakati yao ya kuhakikisha wanaifunga Yanga ikiwemo kumzuia mshambuliaji wao hatari Fiston Mayele kwa kumpa kazi kumkaba beki wao Ibrahim Ame lakini haikuweza kusaidia wasifungwe na mshambuliaji huyo. Akizungumza na Championi Jumatatu, Kifaru alisema kuwa amekuwa kimya kwa muda baada ya mchezo dhidi ya Yanga kwa kuwa alikuwa akiumwa baada ya kupata homa iliyotokana na maumivu ya kufungwa na Yanga. “Tumeanza kukaa sawa kwa sababu tumefanikiwa kushinda mchezo wetu wa kwanza wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya Kwanza lakini nilikuwa kimya kwa sababu niliumwa baada ya mchezo wetu na Yanga hivyo nikawa napambania afya yangu kwa kuamua kukaa kimya. “Kiukweli sikupendezwa na matokeo yale hasa safu ya ulinzi ilikuwa hovyo kabisa, sikutaka kusema kama nilikuwa naumwa ila yale matokeo yalinipa maumivu makali sana kutokana na historia ya hii timu jinsi ambavyo tuliianzisha mwaka 1983 lakini inaoneka vijana hawajui maumivu tunayopata,” alisema Kifaru. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom