Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mastaa KMC waachiwa msala

TANGU kocha Mnyarwanda Thierry Hitimana amechukua mikoba ya kuinoa KMC, kutoka kwa Habib Kondo timu hiyo imeonekana kuimarika siku hadi siku na sasa kazi kubwa imebaki kwa wachezaji.

Hitimana aliyejiunga na Wanakinondoni hao Januari 6, mwaka huu baada ya kumalizana na Simba, hadi sasa ameiongoza timu hiyo kwenye mechi tano za ligi na kushinda tatu na kutoa sare mbili huku akivuna pointi 11 na kupanda hadi nafasi ya sita kwenye msimamo alama ambazo ni sawa na ilizovuna kwenye mechi 11 za mwanzo.

Akizungumza na Mwanaspoti, kocha msaidizi wa timu hiyo Hamadi Ally ameeleza kuwa kuna mabadiliko makubwa kwenye timu tangu kuja kwa Hitimana na sasa wanaamini kufanya vizuri kama wachezaji watatenda kwa ufasaha kile wanachoelekezwa.

“Nawapongeza vijana kwa kazi waliyofanya, kwa hivi karibuni wameweza kufanya kile tunachowaelekeza kwa asilimia kubwa ndio maana tunapata matokeo haya,” alisema Hamad na kuongeza;

“Pia nampongeza bosi Hitimana kwa kazi kubwa anayofanya, naamini kabisa kama vijana watafuata kile tunachowaelekeza na kujituma kwa nguvu zao zote basi tutafika malengo yetu na kufanya vizuri zaidi.”

[QUOTE="Amir, post: 1117, member: 20"] [HEADING=1]Mastaa KMC waachiwa msala[/HEADING] [IMG alt="KMC PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3733062/landscape_ratio16x9/1160/652/a309fc3450d296d6fb653ab953745d24/pL/kmc-pic.jpg[/IMG] TANGU kocha Mnyarwanda Thierry Hitimana amechukua mikoba ya kuinoa KMC, kutoka kwa Habib Kondo timu hiyo imeonekana kuimarika siku hadi siku na sasa kazi kubwa imebaki kwa wachezaji. Hitimana aliyejiunga na Wanakinondoni hao Januari 6, mwaka huu baada ya kumalizana na Simba, hadi sasa ameiongoza timu hiyo kwenye mechi tano za ligi na kushinda tatu na kutoa sare mbili huku akivuna pointi 11 na kupanda hadi nafasi ya sita kwenye msimamo alama ambazo ni sawa na ilizovuna kwenye mechi 11 za mwanzo. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha msaidizi wa timu hiyo Hamadi Ally ameeleza kuwa kuna mabadiliko makubwa kwenye timu tangu kuja kwa Hitimana na sasa wanaamini kufanya vizuri kama wachezaji watatenda kwa ufasaha kile wanachoelekezwa. “Nawapongeza vijana kwa kazi waliyofanya, kwa hivi karibuni wameweza kufanya kile tunachowaelekeza kwa asilimia kubwa ndio maana tunapata matokeo haya,” alisema Hamad na kuongeza; “Pia nampongeza bosi Hitimana kwa kazi kubwa anayofanya, naamini kabisa kama vijana watafuata kile tunachowaelekeza na kujituma kwa nguvu zao zote basi tutafika malengo yetu na kufanya vizuri zaidi.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom