Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Biashara kamili yaifuata Simba

KIKOSI cha Biashara United kitawasili Dar es Salaam kwa michezo miwili ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na Ruvu Shooting.

Akizungumza na Mwanaspoti, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi Vivier Bahati alisema kuwa wamekuja kutafuta alama sita katika mechi hizo mbili ili kujikwamua kutoka nafasi za chini kwenye msimamo.

Hadi sasa Biashara ina pointi 15 ikishika nafasi ya 13 kwenye msimamo na inakutana na Simba yenye pointi 31 na ipo nafasi ya pili keshokutwa Alhamisi na baadaye itacheza na Ruvu Shooting inayoshika nafasi ya 12 kwa pointi 16.

“Tunahitaji alama tatu kwenye kila mchezo, tumekuja na wachezaji wote, na wanatambua umuhimu wa mechi hizo hivyo wapo tayari kwa kupambana,” alisema Vivier na kuongeza;

“Simba ni timu bora, tunaiheshimu lakini soka ni mchezo wa uwanjani, tunahitaji kushinda ndani ili kuongeza morali kwa wachezaji na kujikwamua huku chini tulipo.”

Biashara itaanza kucheza na Simba kwenye Uwanja wa Mkapa timu ambayo mzunguko wa kwanza wakiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Karume walitoka suluhu.

[QUOTE="mhariri, post: 1129, member: 122"] [HEADING=1]Biashara kamili yaifuata Simba[/HEADING] [IMG alt="biashara pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3734296/landscape_ratio16x9/1160/652/1d600969148aa7e91ee82c9d6cb157ad/Rp/biashara-pic.jpg[/IMG] KIKOSI cha Biashara United kitawasili Dar es Salaam kwa michezo miwili ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na Ruvu Shooting. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi Vivier Bahati alisema kuwa wamekuja kutafuta alama sita katika mechi hizo mbili ili kujikwamua kutoka nafasi za chini kwenye msimamo. Hadi sasa Biashara ina pointi 15 ikishika nafasi ya 13 kwenye msimamo na inakutana na Simba yenye pointi 31 na ipo nafasi ya pili keshokutwa Alhamisi na baadaye itacheza na Ruvu Shooting inayoshika nafasi ya 12 kwa pointi 16. “Tunahitaji alama tatu kwenye kila mchezo, tumekuja na wachezaji wote, na wanatambua umuhimu wa mechi hizo hivyo wapo tayari kwa kupambana,” alisema Vivier na kuongeza; “Simba ni timu bora, tunaiheshimu lakini soka ni mchezo wa uwanjani, tunahitaji kushinda ndani ili kuongeza morali kwa wachezaji na kujikwamua huku chini tulipo.” Biashara itaanza kucheza na Simba kwenye Uwanja wa Mkapa timu ambayo mzunguko wa kwanza wakiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Karume walitoka suluhu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom