Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kiiza: Huyu Mayele Atafunga Sana Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza

‘Diego’amemuangalia straika waYanga, Mkongomani, Fiston Mayele na kutamka kuwa jamaa anajua huku akimtabiria makubwa katika timu hiyo.

Kiiza aliyewahi kuichezeaYanga kabla ya kwenda Simba, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati yaYanga dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja

wa Mkapa, Dar es Salaam.

Mchezo huo ulimalizika kwaYanga kushinda mabao 3-0 yakifungwa na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’na Mayele aliyepachika mawili.

Akizungumza na Championi Jumatano, Kiiza ambaye aliwafunga Simba katika mchezo wa ligi, alisema kuwa kwa aina ya uchezaji na mfumo ambao wanautumiaYanga, mshambuliaji huyo atafunga mabao mengi

msimu huu.

Kiiza alisema kuwaYanga mashambulizi yao wanayafanya kutokea pembeni wakiwatumia mabeki wa pembeni na mawinga kupiga krosi ambazo ndiyo zinamrahisishia Mayele kufunga mabao.

Aliongeza kuwa uzuri wachezaji wote wa Yanga wanamjua vizuri Mayele, hivyo wanatumia mipira ya krosi katika kumpa mipira hiyo ambayo inazaa mabao.

“Kwa aina ya uchezaji na kimbinu wanayotumia wachezaji wenzake kumchezesha Mayele, basi namtabiria kufanya mengi mazuri katika msimu huu ikiwemo kutwaa ufungaji bora.

“Yanga mashambulizi yao wanayatumia kupitia pembeni kwa maana ya kupiga krosi ambazo zote wanampigia Mayele, ni kitu ambacho wanaonekana kukifanyia kazi mazoezi.

“Mabao yote aliyotufunga Mayele yametokea pembeni moja la krosi na lingine la faulo iliyotokea pembeni ambayo yote yakifungwa kwa kichwa,” alisema Kiiza.

[QUOTE="mhariri, post: 1131, member: 122"] [HEADING=1]Kiiza: Huyu Mayele Atafunga Sana Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/274235279_261437032807508_4171306007109705528_n.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’amemuangalia straika waYanga, Mkongomani, Fiston Mayele na kutamka kuwa jamaa anajua huku akimtabiria makubwa katika timu hiyo. Kiiza aliyewahi kuichezeaYanga kabla ya kwenda Simba, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati yaYanga dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Mchezo huo ulimalizika kwaYanga kushinda mabao 3-0 yakifungwa na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’na Mayele aliyepachika mawili. Akizungumza na Championi Jumatano, Kiiza ambaye aliwafunga Simba katika mchezo wa ligi, alisema kuwa kwa aina ya uchezaji na mfumo ambao wanautumiaYanga, mshambuliaji huyo atafunga mabao mengi msimu huu. Kiiza alisema kuwaYanga mashambulizi yao wanayafanya kutokea pembeni wakiwatumia mabeki wa pembeni na mawinga kupiga krosi ambazo ndiyo zinamrahisishia Mayele kufunga mabao. Aliongeza kuwa uzuri wachezaji wote wa Yanga wanamjua vizuri Mayele, hivyo wanatumia mipira ya krosi katika kumpa mipira hiyo ambayo inazaa mabao. “Kwa aina ya uchezaji na kimbinu wanayotumia wachezaji wenzake kumchezesha Mayele, basi namtabiria kufanya mengi mazuri katika msimu huu ikiwemo kutwaa ufungaji bora. “Yanga mashambulizi yao wanayatumia kupitia pembeni kwa maana ya kupiga krosi ambazo zote wanampigia Mayele, ni kitu ambacho wanaonekana kukifanyia kazi mazoezi. “Mabao yote aliyotufunga Mayele yametokea pembeni moja la krosi na lingine la faulo iliyotokea pembeni ambayo yote yakifungwa kwa kichwa,” alisema Kiiza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom