Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sheikh Amri Abeid kufumuliwa upya

ARUSHA. CHAMA Cha Mapinduzi ambao ndio wamiliki wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kimesema kinatarajia kutumia muda wa miezi mitatu kuufunga uwanja wao kwa ajili ya kufumua na kuotesha nyasi mpya za kisasa ili kubadili mwonekano wa uwanja huo eneo la kuchezea.

Akizungumzia hilo ofisini kwake, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Gerald Munisi alisema wameona umuhimu wa kufanya hivyo baada ya nyasi hizo kuonekana kuzeeka hali inayochelewesha kurudisha ukijani wake hata ukimwagiwa maji baada ya kutumika.

“Tathimini kuwa tutatumia shilingi ngapi bado hatujafanya, kikubwa bado tunamalizana na mhusika wa kufumua nyasi hizo na baadae tutakuwa na vibarua wa kuotesha nyasi mpya tunazoamini zitapendezesha uwanja na kuwa mpya tena, maana nyasi hizi za miaka ya sabini kiukweli zimechoka,” alisema na kuongeza pia wanatarajia kurekebisha miundombinu yote kwa jumla.

“Huu uwanja una jina kubwa sana Tanzania na nje ya Tanzania lakini bila marekebisho na maboresho ya mara kwa mara utapoteza sifa zote, sisi kama chama tawala na wamiliki wake hatutaki hilo litukute hivyo niwaombe wadau watuelewe kwa hili.”

“Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wametupa dhamana ya kuwa wenyeji wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la AFSC hivyo tunashukuru kwa sifa hiyo na hii inaonekana wana imani kubwa na uwanja wetu, na sisi hatutaki kupoteza heshima hii, ili tupate michezo mingine mikubwa ya ndani na ile ya kimataifa,” alisema

[QUOTE="Amir, post: 1148, member: 20"] [HEADING=1]Sheikh Amri Abeid kufumuliwa upya[/HEADING] [IMG alt="Sheik PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3735700/landscape_ratio16x9/1160/652/b8cda94620fd775bafc630ddbad602a0/sF/sheik-pic.jpg[/IMG] [B]ARUSHA. C[/B]HAMA Cha Mapinduzi ambao ndio wamiliki wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kimesema kinatarajia kutumia muda wa miezi mitatu kuufunga uwanja wao kwa ajili ya kufumua na kuotesha nyasi mpya za kisasa ili kubadili mwonekano wa uwanja huo eneo la kuchezea. Akizungumzia hilo ofisini kwake, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Gerald Munisi alisema wameona umuhimu wa kufanya hivyo baada ya nyasi hizo kuonekana kuzeeka hali inayochelewesha kurudisha ukijani wake hata ukimwagiwa maji baada ya kutumika. “Tathimini kuwa tutatumia shilingi ngapi bado hatujafanya, kikubwa bado tunamalizana na mhusika wa kufumua nyasi hizo na baadae tutakuwa na vibarua wa kuotesha nyasi mpya tunazoamini zitapendezesha uwanja na kuwa mpya tena, maana nyasi hizi za miaka ya sabini kiukweli zimechoka,” alisema na kuongeza pia wanatarajia kurekebisha miundombinu yote kwa jumla. “Huu uwanja una jina kubwa sana Tanzania na nje ya Tanzania lakini bila marekebisho na maboresho ya mara kwa mara utapoteza sifa zote, sisi kama chama tawala na wamiliki wake hatutaki hilo litukute hivyo niwaombe wadau watuelewe kwa hili.” “Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wametupa dhamana ya kuwa wenyeji wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la AFSC hivyo tunashukuru kwa sifa hiyo na hii inaonekana wana imani kubwa na uwanja wetu, na sisi hatutaki kupoteza heshima hii, ili tupate michezo mingine mikubwa ya ndani na ile ya kimataifa,” alisema [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom