Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Biashara Utd yapiga mkwara

WACHEZAJI wa Biashara United wamekiri kuwa mechi yao ya kesho IJumaa dhidi ya Simba ni ngumu, lakini watafanya kama walichoifanyia Azam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwani gari lao ndio limewaka hivyo.

Biashara ilikuja kuzindukia kwa Azam kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Februari 22 baada ya timu hiyo kukaa siku 117 bila ushindi.

Tangu ilipopata ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Prisons, Oktoba 27 mwaka jana, Biashara haikushinda tena hadi iliposhinda kwa Azam lakini sasa wametamba kuwa gari ndio limewaka Simba ijipange.

Nahodha wa Biashara, Abdulmajid Mangalo alisema wamejiandaa kikamilifu kukabiliana na Simba na wana uhakika wa kufanya vizuri licha ya kwamba mechi itakuwa ngumu.

Naye mshambuliaji Atupele Green alisema wanaendelea na maandalizi ili kuhakikisha wanatoka na ushindi kujiweka salama kwenye msimamo wa ligi.

Katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu msimu huu timu hizo zilitoka suluhu mjini Musoma.

[QUOTE="Amir, post: 1162, member: 20"] [HEADING=1]Biashara Utd yapiga mkwara[/HEADING] [IMG alt="Biashara PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3736764/landscape_ratio16x9/1160/652/bf5287894760e49060e77073a1e77a8f/zz/biashara-pic.jpg[/IMG] WACHEZAJI wa Biashara United wamekiri kuwa mechi yao ya kesho IJumaa dhidi ya Simba ni ngumu, lakini watafanya kama walichoifanyia Azam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwani gari lao ndio limewaka hivyo. Biashara ilikuja kuzindukia kwa Azam kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Februari 22 baada ya timu hiyo kukaa siku 117 bila ushindi. Tangu ilipopata ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Prisons, Oktoba 27 mwaka jana, Biashara haikushinda tena hadi iliposhinda kwa Azam lakini sasa wametamba kuwa gari ndio limewaka Simba ijipange. Nahodha wa Biashara, Abdulmajid Mangalo alisema wamejiandaa kikamilifu kukabiliana na Simba na wana uhakika wa kufanya vizuri licha ya kwamba mechi itakuwa ngumu. Naye mshambuliaji Atupele Green alisema wanaendelea na maandalizi ili kuhakikisha wanatoka na ushindi kujiweka salama kwenye msimamo wa ligi. Katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu msimu huu timu hizo zilitoka suluhu mjini Musoma. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom