Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Malale akipigwa tu anatimuliwa Polisi

WAKIPIGWA tu, jamaa wanamtimua. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini baada ya mabosi wake kumtega kwa kumpa mechi moja tu dhidi ya Azam itakayopigwa Jumapili ambapo kama timu hiyo itapoteza tena, basi kibarua chake kitaota nyasi.

Mechi hiyo ya Jumapili inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam na inaelezwa matokeo mabovu inayopata timu hiyo imewafanya mabosi wote wa maafande hao kukutana Jumapili wakati chama lao likishuka dimbani kusikilizia matokeo yatakavyokuwa.

“Kutakuwa na kikao cha viongozi wote Jumapili na mchezo wa wa siku hiyo unaweza kutoa mustakabali wa kocha kujadiliwa kama tutapoteza lakini tukipata ushindi nadhani hiyo haitakuwa ajenda yetu.

“Moja ya lengo letu msimu huu ni kumaliza nafasi tano za juu lakini matokeo yanayoendelea sasa yanatufanya kujiuliza mara mbili tatizo lililopo ndani yetu,” alisema mmoja wa viongozi wa timu hiyo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Hata hivyo, Malale alisema amefanyia kazi makosa aliyoyaona mchezo uliopita na anatarajia ushindani dhidi ya Azam FC huku akisisitiza matokeo mabaya wanayoyapata sasa ni upepo mbaya tu kikosi chao kipo imara. “Pamoja na matokeo mabaya yaliyopo ndani ya timu bado tuna nafasi ya kufikia lengo tulilojipangia kuanzia mwanzo wa msimu kwa kuhakikisha tunamaliza nafasi tano za juu kwa tulipo sasa tukishinda mechi mbili mfululizo tunapanda hadi nafasi ya tatu,” alisema.

“Ligi ni ngumu sana ni timu mbili tu ambazo zimekusanya pointi nyingi na kujihakikishia nafasi za juu lakini ukiangalia kuanzia nafasi ya tatu kushuka chini hakuna mwenye uhakika anayeshinda anapanda na mwingine anashuka.” Mara ya mwisho Polisi ilipata ushindi kwenye ligi Desemba 4, mwaka jana ilipoichapa Tanzania Prisons bao 1-0 mchezo uliopigw Uwanja wa Ushirika, Moshi.

[QUOTE="Amir, post: 1163, member: 20"] [HEADING=1]Malale akipigwa tu anatimuliwa Polisi[/HEADING] [IMG alt="Malale PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3736748/landscape_ratio16x9/1160/652/2d0ca8bdf59453b6cbcf8e6da9a65848/Ls/malale-pic.jpg[/IMG] WAKIPIGWA tu, jamaa wanamtimua. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini baada ya mabosi wake kumtega kwa kumpa mechi moja tu dhidi ya Azam itakayopigwa Jumapili ambapo kama timu hiyo itapoteza tena, basi kibarua chake kitaota nyasi. Mechi hiyo ya Jumapili inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam na inaelezwa matokeo mabovu inayopata timu hiyo imewafanya mabosi wote wa maafande hao kukutana Jumapili wakati chama lao likishuka dimbani kusikilizia matokeo yatakavyokuwa. “Kutakuwa na kikao cha viongozi wote Jumapili na mchezo wa wa siku hiyo unaweza kutoa mustakabali wa kocha kujadiliwa kama tutapoteza lakini tukipata ushindi nadhani hiyo haitakuwa ajenda yetu. “Moja ya lengo letu msimu huu ni kumaliza nafasi tano za juu lakini matokeo yanayoendelea sasa yanatufanya kujiuliza mara mbili tatizo lililopo ndani yetu,” alisema mmoja wa viongozi wa timu hiyo ambaye jina lake limehifadhiwa. Hata hivyo, Malale alisema amefanyia kazi makosa aliyoyaona mchezo uliopita na anatarajia ushindani dhidi ya Azam FC huku akisisitiza matokeo mabaya wanayoyapata sasa ni upepo mbaya tu kikosi chao kipo imara. “Pamoja na matokeo mabaya yaliyopo ndani ya timu bado tuna nafasi ya kufikia lengo tulilojipangia kuanzia mwanzo wa msimu kwa kuhakikisha tunamaliza nafasi tano za juu kwa tulipo sasa tukishinda mechi mbili mfululizo tunapanda hadi nafasi ya tatu,” alisema. “Ligi ni ngumu sana ni timu mbili tu ambazo zimekusanya pointi nyingi na kujihakikishia nafasi za juu lakini ukiangalia kuanzia nafasi ya tatu kushuka chini hakuna mwenye uhakika anayeshinda anapanda na mwingine anashuka.” Mara ya mwisho Polisi ilipata ushindi kwenye ligi Desemba 4, mwaka jana ilipoichapa Tanzania Prisons bao 1-0 mchezo uliopigw Uwanja wa Ushirika, Moshi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom