Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Dodoma Jiji yaiwahi Simba mapemaaa

TIMU ya Dodoma Jiji bado haijakaa vyema licha ya kupata kocha mpya, Djuma Masoud, aliyechukua nafasi ya Mbwana Makatta na katika kulitambua hilo mabosi wa timu hiyo wameamua kujipanga mapema ili kuhakikisha inavuna pointi kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Simba na tayari wameweka kambi nje ya Jiji la Dar es Salaam.

Simba na Dodoma zitacheza Jumatatu ijayo kwenye pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam mchezo unaotarajiwa kuanza saa 1 usiku.

Dodoma iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 na Ruvu Shooting Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani mara baada ya mchezo huo iliamua kuweka kambi hukohuko Pwani ili kuliandaa jeshi kabla ya kuvaana na Simba iliyowafunga kwa bao 1-0 kwenye mechi yao ya duru la kwanza.

Habari ambazo Mwanaspoti limezipata kambi hiyo imewekwa ili wachezaji wasijichanganye mjini bali akili zao zijikite katika maandalizi ya mchezo ujao.

Mwanaspoti lilimtafuta Katibu mkuu wa timu hiyo, Johnson Fortunatus aliyekiri kuwa timu hiyo imebaki Pwani kwa lengo la kupata utulivu na wapo kwenye kambi nzuri. “Mchezo wa mwisho tumecheza na Ruvu. Tulifikia Kibaha (Camp) na ni sehemu nzuri tumeona itawapa wachezaji utulivu wa kutosha wakiwa wanajiandaa na mchezo huu,” alisema.

“Tunaendelea kuwajenga kisaikolojia ili watambue umuhimu wa kuhitaji pointi kwa kila mchezo.”

[QUOTE="Amir, post: 1164, member: 20"] [HEADING=1]Dodoma Jiji yaiwahi Simba mapemaaa[/HEADING] [IMG alt="Dom PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3736744/landscape_ratio16x9/1160/652/23eecb180fd67558012814fcf683b123/sH/dom-pic.jpg[/IMG] TIMU ya Dodoma Jiji bado haijakaa vyema licha ya kupata kocha mpya, Djuma Masoud, aliyechukua nafasi ya Mbwana Makatta na katika kulitambua hilo mabosi wa timu hiyo wameamua kujipanga mapema ili kuhakikisha inavuna pointi kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Simba na tayari wameweka kambi nje ya Jiji la Dar es Salaam. Simba na Dodoma zitacheza Jumatatu ijayo kwenye pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam mchezo unaotarajiwa kuanza saa 1 usiku. Dodoma iliyolazimishwa sare ya bao 1-1 na Ruvu Shooting Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani mara baada ya mchezo huo iliamua kuweka kambi hukohuko Pwani ili kuliandaa jeshi kabla ya kuvaana na Simba iliyowafunga kwa bao 1-0 kwenye mechi yao ya duru la kwanza. Habari ambazo Mwanaspoti limezipata kambi hiyo imewekwa ili wachezaji wasijichanganye mjini bali akili zao zijikite katika maandalizi ya mchezo ujao. Mwanaspoti lilimtafuta Katibu mkuu wa timu hiyo, Johnson Fortunatus aliyekiri kuwa timu hiyo imebaki Pwani kwa lengo la kupata utulivu na wapo kwenye kambi nzuri. “Mchezo wa mwisho tumecheza na Ruvu. Tulifikia Kibaha (Camp) na ni sehemu nzuri tumeona itawapa wachezaji utulivu wa kutosha wakiwa wanajiandaa na mchezo huu,” alisema. “Tunaendelea kuwajenga kisaikolojia ili watambue umuhimu wa kuhitaji pointi kwa kila mchezo.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom