Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

#TBT ZILITRENDI: Mahakama yamtimua kazi Mwakalebela

TAREHE kama ya leo yaani Machi 3, ila ndani ya mwaka 2008 iliripotiwa stori ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka (TFF), Fredrick Mwakalebela ni kama hana kazi baada ya mahakama ya kazi kumrejesha katibu mkuu wa zamani wa shirikisho hilo, Ashery Gassabile.

Uamuzi huo ulifikiwa baada ya mahakama hiyo kuridhika kwamba Gassabile aliondolewa TFF kimakosa.

Gassabile aliondolewa kazini mwaka 2006 akiwa katika muda wake wa (probation) wa miezi sita jambo ambalo lilimfanya asiajiriwe hivyo akaamua kukimbilia mahakamani.

Kamati ya Utendaji ya TFF haikuridhika na utendaji kazi wake Gassabile na kuamua kusitisha ajira yake na badala yake akaajiriwa Mwakalebela ambaye siku hiyo ya Machi 3, alikuwa mkoani Manyara kutatua mgogoro wa soka huko.

Habari zilizopatikana siku hiyo zilizema Gassabile ataanza kazi Jumatatu kama Katibu Mkuu wa TFF, lakini shirikisho hilo litakata rufani kupinga uamuzi huo.

Hata hivyo TFF ilisema Mwakalebela ataendelea na kazi zake zote kwa sababu Jumatatu yake wataenda kukata rufaa.

Kwa sasa Mwakalebela ni Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga baada ya kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 4, 2019.

[QUOTE="vuligate, post: 1165, member: 123"] [HEADING=1]#TBT ZILITRENDI: Mahakama yamtimua kazi Mwakalebela[/HEADING] [IMG alt="Zengwe PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3671786/landscape_ratio16x9/1160/652/6fa01a72d5a823e72b4da52a12ef2a5d/Dr/zengwe-pic.jpg[/IMG] TAREHE kama ya leo yaani Machi 3, ila ndani ya mwaka 2008 iliripotiwa stori ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka (TFF), Fredrick Mwakalebela ni kama hana kazi baada ya mahakama ya kazi kumrejesha katibu mkuu wa zamani wa shirikisho hilo, Ashery Gassabile. Uamuzi huo ulifikiwa baada ya mahakama hiyo kuridhika kwamba Gassabile aliondolewa TFF kimakosa. Gassabile aliondolewa kazini mwaka 2006 akiwa katika muda wake wa (probation) wa miezi sita jambo ambalo lilimfanya asiajiriwe hivyo akaamua kukimbilia mahakamani. Kamati ya Utendaji ya TFF haikuridhika na utendaji kazi wake Gassabile na kuamua kusitisha ajira yake na badala yake akaajiriwa Mwakalebela ambaye siku hiyo ya Machi 3, alikuwa mkoani Manyara kutatua mgogoro wa soka huko. Habari zilizopatikana siku hiyo zilizema Gassabile ataanza kazi Jumatatu kama Katibu Mkuu wa TFF, lakini shirikisho hilo litakata rufani kupinga uamuzi huo. Hata hivyo TFF ilisema Mwakalebela ataendelea na kazi zake zote kwa sababu Jumatatu yake wataenda kukata rufaa. Kwa sasa Mwakalebela ni Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga baada ya kuchaguliwa kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 4, 2019. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom