Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba: Fiston Mayele Akitufunga Tunampa Mbuzi

MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kama atafanikiwa kuifunga Simba katika michezo inayofuata ambayo watakutana.

Ahadi hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shabiki mmoja wa Yanga kutoka Morogoro kumpa Mayele ng’ombe baada ya kufunga bao dhidi ya Mtibwa Sugar.

Tayari Simba na Yanga msimu huu zimekutana mara mbili, awali ilikuwa katika Ngao ya Jamii, Yanga ilishinda 1-0 kwa bao la Mayele, kisha suluhu ukiwa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Timu hizo zinaweza kukutana tena katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam endapo zote zitashinda mechi zao za robo fainali, huku pia zikiwa bado hazijacheza mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuchezwa Aprili, mwaka huu.

Ahadi hiyo ya Mzee Muchacho ameitoa pindi alipokutana na Mayele katika mazishi ya Baba wa Mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed, Mzee Said Mohamed yaliyofanyika Machi Mosi, mwaka huu kwenye Makaburi ya Kisutu, Dar.

Akizungumza na Spoti Xtra, mzee Muchacho alisema: “Tayari nimeongea na Mayele, nimemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi kama atafanikiwa kutufunga Simba katika michezo ijayo ya Ligi Kuu na Kombe la FA, ningeweza kumuagizia hata ngamia kutoka nje ya nchi, lakini naamini zawadi ya mbuzi ni nzuri kwake.”

[QUOTE="Amir, post: 1175, member: 20"] [HEADING=1]Simba: Fiston Mayele Akitufunga Tunampa Mbuzi[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/274480447_373713300869546_3870057394497176153_n-1.jpg[/IMG] MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kama atafanikiwa kuifunga Simba katika michezo inayofuata ambayo watakutana. Ahadi hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shabiki mmoja wa Yanga kutoka Morogoro kumpa Mayele ng’ombe baada ya kufunga bao dhidi ya Mtibwa Sugar. Tayari Simba na Yanga msimu huu zimekutana mara mbili, awali ilikuwa katika Ngao ya Jamii, Yanga ilishinda 1-0 kwa bao la Mayele, kisha suluhu ukiwa mchezo wa Ligi Kuu Bara. Timu hizo zinaweza kukutana tena katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam endapo zote zitashinda mechi zao za robo fainali, huku pia zikiwa bado hazijacheza mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuchezwa Aprili, mwaka huu. Ahadi hiyo ya Mzee Muchacho ameitoa pindi alipokutana na Mayele katika mazishi ya Baba wa Mmiliki wa Kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed, Mzee Said Mohamed yaliyofanyika Machi Mosi, mwaka huu kwenye Makaburi ya Kisutu, Dar. Akizungumza na Spoti Xtra, mzee Muchacho alisema: “Tayari nimeongea na Mayele, nimemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi kama atafanikiwa kutufunga Simba katika michezo ijayo ya Ligi Kuu na Kombe la FA, ningeweza kumuagizia hata ngamia kutoka nje ya nchi, lakini naamini zawadi ya mbuzi ni nzuri kwake.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom