Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mbeya Kwanza, City hakuna mbabe Songea

Licha ya kuhamia mjini Songea kwenye uwanja wa Majimaji, Mbeya Kwanza imeshindwa kutamba dhidi ya ndugu zao, Mbeya City kwa kulazimisha suluhu ya bila kufungana.

Matokeo hayo yanaifanya timu hiyo ngeni Ligi Kuu kufikisha alama 14, huku City wakifikisha alama 25 baada ya timu zote kucheza mechi 17

Katika mchezo huo uliopigwa leo Jumamosi mkoani Ruvuma, wenyeji Mbeya Kwanza ndio walionekana zaidi kuwa na uchu wa alama tatu kutokana na mashambulizi waliyoyafanya haswa kipindi cha kwanza lakini mabeki wa City chini ya Hamad Waziri na Kipa wao, Deogratias Munish 'Dida' walikuwa katiri kuzuia hatari zote.

Straika na kinara wa mabao kwa Mbeya Kwanza, Habibu Kyombo mwenye mabao manne alipambana kulazimisha bao lakini mashuti yake yalipaa huku mengine yakizuiwa vyema na kufanya dakika 45 za awali kumalizika kwa suluhu.

Kipindi cha pili timu zote ziliingia na mipango zikifanya mabadiliko ambapo City waliwapumzisha Peter Mapunda, Paul Nonga na Frank Ikobela na kuingia, Joseph Ssemuju, Richardson Ng'ondya na Siraji Juma.

Kwa upande wa Mbeya Kwanza waliwatoa

Eliuta Mpepo, James Mwasote aliyeumia na kuwapa nafasi Waliam Edgar na Brown Mwankemwa japokuwa timu zote hazikuwa na wala hasara kwa mabadiliko hayo kutokana na kutoleta kitu kwenye matokeo.

Mbeya City walipambana zaidi kipindi cha pili kupitia kwa Ssemuju na Luizio lakini mipira yao haikuwa na macho kuliona lango na kufanya mpambano huo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana.

Matokeo hayo yanazifanya timu hizo za jijini Mbeya kutotambiana msimu huu ikiwa mechi ya raundi ya kwanza wakitoshana nguvu ya sare ya mabao 2-2 na leo ikiishia suluhu ya bila kufungana.

[QUOTE="Amir, post: 1180, member: 20"] [HEADING=1]Mbeya Kwanza, City hakuna mbabe Songea[/HEADING] [IMG alt="mbeya pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3738266/landscape_ratio16x9/1160/652/1aa971c6ccfce4a88c05b27d829ead5b/rd/mbeya-pic.jpg[/IMG] Licha ya kuhamia mjini Songea kwenye uwanja wa Majimaji, Mbeya Kwanza imeshindwa kutamba dhidi ya ndugu zao, Mbeya City kwa kulazimisha suluhu ya bila kufungana. Matokeo hayo yanaifanya timu hiyo ngeni Ligi Kuu kufikisha alama 14, huku City wakifikisha alama 25 baada ya timu zote kucheza mechi 17 Katika mchezo huo uliopigwa leo Jumamosi mkoani Ruvuma, wenyeji Mbeya Kwanza ndio walionekana zaidi kuwa na uchu wa alama tatu kutokana na mashambulizi waliyoyafanya haswa kipindi cha kwanza lakini mabeki wa City chini ya Hamad Waziri na Kipa wao, Deogratias Munish 'Dida' walikuwa katiri kuzuia hatari zote. Straika na kinara wa mabao kwa Mbeya Kwanza, Habibu Kyombo mwenye mabao manne alipambana kulazimisha bao lakini mashuti yake yalipaa huku mengine yakizuiwa vyema na kufanya dakika 45 za awali kumalizika kwa suluhu. Kipindi cha pili timu zote ziliingia na mipango zikifanya mabadiliko ambapo City waliwapumzisha Peter Mapunda, Paul Nonga na Frank Ikobela na kuingia, Joseph Ssemuju, Richardson Ng'ondya na Siraji Juma. Kwa upande wa Mbeya Kwanza waliwatoa Eliuta Mpepo, James Mwasote aliyeumia na kuwapa nafasi Waliam Edgar na Brown Mwankemwa japokuwa timu zote hazikuwa na wala hasara kwa mabadiliko hayo kutokana na kutoleta kitu kwenye matokeo. Mbeya City walipambana zaidi kipindi cha pili kupitia kwa Ssemuju na Luizio lakini mipira yao haikuwa na macho kuliona lango na kufanya mpambano huo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana. Matokeo hayo yanazifanya timu hizo za jijini Mbeya kutotambiana msimu huu ikiwa mechi ya raundi ya kwanza wakitoshana nguvu ya sare ya mabao 2-2 na leo ikiishia suluhu ya bila kufungana. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom