Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

City Gold, Mbinga United ni vita kali RCL Songea

Mbeya. Matokeo ya kufungwa mabao 2-1 Mbinga United dhidi ya Stand FC kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa wa Mikoa (RCL) yameipunguza kasi timu hiyo ya mkoani Ruvuma, huku ikiipisha nafasi ya kwanza, City Gold kwenye kundi lao A.

Hadi sasa ikiwa inaingia raundi ya nne kwa timu hizo, City Gold ndio vinara kwenye kundi hilo ikiwa haijapoteza mchezo wowote kwenye michuano hiyo kwa kuwa na pointi tisa na kesho Jumanne itakuwa kazini kuwakabili Mbinga United ambao ni wenyeji kwenye kitu hicho.

Ikumbukwe timu mbili kutoka kila kundi zitaungana kucheza nane bora kupata timu mbili za kwenda moja kwa moja First League msimu ujao huku zile zitakazoshika nafasi ya tatu na nne zikicheza mtoano 'play off' ya kupanda dhidi ya zile za First League.

Katika mechi zilizochezwa jana jioni na leo mapema, Mbinga United walikubali kipondo cha mabao 2-1 dhidi ya Stand FC ya mkoani Mtwara ikiwa ni kipigo cha kwanza wa wenyeji hao kutoka wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kucheza mechi tatu bila kupoteza ikiwa ni sare moja na kushinda mbili.

Kwa upande wa City Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya, imeendeleza ubabe baada ya kushinda mchezo wake wa tatu na kupaa hadi kileleni kwa alama tisa na kuwashusha wenyeji wao.

Ushindi wa leo wa mabao 3-1 dhidi ya Mtama Boys ya mkoani Lindi umeifanya kujitanua na kuongeza matumaini ya kufuzu hatua ya nane bora ya michuano hiyo kusaka tiketi ya kupanda First League msimu ujao.

Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Mjaimaji mjini Songea, mabao ya washindi yaliwekwa wavuni na James Moradi dakika ya 23, Teddy Fredi dakika ya 39 na Arsu Mwasengu dakika ya 68.

[QUOTE="mhariri, post: 1196, member: 122"] [HEADING=1]City Gold, Mbinga United ni vita kali RCL Songea [/HEADING] [B]Mbeya.[/B] Matokeo ya kufungwa mabao 2-1 Mbinga United dhidi ya Stand FC kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa wa Mikoa (RCL) yameipunguza kasi timu hiyo ya mkoani Ruvuma, huku ikiipisha nafasi ya kwanza, City Gold kwenye kundi lao A. Hadi sasa ikiwa inaingia raundi ya nne kwa timu hizo, City Gold ndio vinara kwenye kundi hilo ikiwa haijapoteza mchezo wowote kwenye michuano hiyo kwa kuwa na pointi tisa na kesho Jumanne itakuwa kazini kuwakabili Mbinga United ambao ni wenyeji kwenye kitu hicho. Ikumbukwe timu mbili kutoka kila kundi zitaungana kucheza nane bora kupata timu mbili za kwenda moja kwa moja First League msimu ujao huku zile zitakazoshika nafasi ya tatu na nne zikicheza mtoano 'play off' ya kupanda dhidi ya zile za First League. [IMG alt="city pic 1"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3739668/5733d935c69949837f7bfa42942b9368/city-pic-1-data.jpg[/IMG] Katika mechi zilizochezwa jana jioni na leo mapema, Mbinga United walikubali kipondo cha mabao 2-1 dhidi ya Stand FC ya mkoani Mtwara ikiwa ni kipigo cha kwanza wa wenyeji hao kutoka wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kucheza mechi tatu bila kupoteza ikiwa ni sare moja na kushinda mbili. Kwa upande wa City Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya, imeendeleza ubabe baada ya kushinda mchezo wake wa tatu na kupaa hadi kileleni kwa alama tisa na kuwashusha wenyeji wao. Ushindi wa leo wa mabao 3-1 dhidi ya Mtama Boys ya mkoani Lindi umeifanya kujitanua na kuongeza matumaini ya kufuzu hatua ya nane bora ya michuano hiyo kusaka tiketi ya kupanda First League msimu ujao. Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Mjaimaji mjini Songea, mabao ya washindi yaliwekwa wavuni na James Moradi dakika ya 23, Teddy Fredi dakika ya 39 na Arsu Mwasengu dakika ya 68. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom