Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Metacha atajwa kipigo cha Azam

KOCHA mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya ushindi wao wa juzi Jumamosi dhidi ya Azam ni ubora mkubwa aliokuwa nao kipa wao, Metacha Mnata katika kuokoa hatari zilizoelekezwa golini kwao. Juzi Jumamosi Polisi

Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, ushindi huo umeifanya Polisi Tanzania kufikisha pointi 22 zinazowaweka katika nafasi ya saba ya msimamo (kabla ya mchezo wa Geita Gold vs Yanga, jana Jumapili).

Kwenye mchezo huo, Metacha alionyesha kiwango bora na kufanikiwa kutoruhusu bao yaani ‘Clean sheet’, ambapo hii inakuwa Clean Sheet yake ya sita ndani ya Polisi Tanzania msimu huu.

Akizungumza na Championi Jumatatu, kocha Malale alisema: “Ulikuwa mchezo mzuri na mgumu kwetu hususan kwa kuwa tulikuwa na wachezaji wengi ambao walikuwa majeruhi, lakini jambo la muhimu ni kuwa tumefanikiwa kupata pointi tatu muhimu.

“Pia napenda kumpongeza kipa wangu Metacha Mnata ambaye ni wazi alikuwa kwenye kiwango bora Jumamosi, na naweza kusema bila yeye ingekuwa vigumu kupata ushindi.”

[QUOTE="Amir, post: 1204, member: 20"] [HEADING=1]Metacha atajwa kipigo cha Azam[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/08/METACHA.png[/IMG] KOCHA mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya ushindi wao wa juzi Jumamosi dhidi ya Azam ni ubora mkubwa aliokuwa nao kipa wao, Metacha Mnata katika kuokoa hatari zilizoelekezwa golini kwao. Juzi Jumamosi Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, ushindi huo umeifanya Polisi Tanzania kufikisha pointi 22 zinazowaweka katika nafasi ya saba ya msimamo (kabla ya mchezo wa Geita Gold vs Yanga, jana Jumapili). Kwenye mchezo huo, Metacha alionyesha kiwango bora na kufanikiwa kutoruhusu bao yaani ‘Clean sheet’, ambapo hii inakuwa Clean Sheet yake ya sita ndani ya Polisi Tanzania msimu huu. Akizungumza na Championi Jumatatu, kocha Malale alisema: “Ulikuwa mchezo mzuri na mgumu kwetu hususan kwa kuwa tulikuwa na wachezaji wengi ambao walikuwa majeruhi, lakini jambo la muhimu ni kuwa tumefanikiwa kupata pointi tatu muhimu. “Pia napenda kumpongeza kipa wangu Metacha Mnata ambaye ni wazi alikuwa kwenye kiwango bora Jumamosi, na naweza kusema bila yeye ingekuwa vigumu kupata ushindi.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom