Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mbeya City waipeleka Kagera Sugar ilipofia Simba

Mbeya. Baada ya kutumia zaidi ya masaa matatu kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar, Mbeya City imefichua kilichowaangusha katika mechi zake tatu za nyuma, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mathias Lule akisema amepata dawa.

City ilikuwa na matokeo mazuri ikiwamo kuzisimamisha timu kubwa, Simba, Yanga na Azam kwa kuvuna jumla ya pointi tano kwa miamba hao wa soka nchini lakini kwa sasa kasi yao imeonekana kupungua haswa kufululiza sare nyingi.

Timu hiyo ya jijini hapa mara ya mwisho kushinda mechi yake ilikuwa Januari 20 ilipoinyuka Ruvu Shooting bao 1-0 kwenye uwanja wa Sokoine na tangu hapo imekuwa ni sare na kupoteza.

Katika mechi nne za mwisho, timu hiyo imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Namungo mabao 2-0 kisha suluhu dhidi ya Yanga sawa na Mbeya Kwanza na sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons.

Katika mechi hizo, timu hiyo ilikuwa ikijifua kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Iyunga,huku matokeo ya ushindi ikiwamo Simba walipoichakaza bao 1-0 walikuwa wameweka kambi viwanja vya Isyesye ambapo sasa wamerudi tena kujiwinda dhidi ya Kagera Sugar.

Akizungumza baada ya mazoezi ya leo Jumatano yaliyofanyika kwenye uwanja wa Isyesye, Lule amesema kukosa ushindi kwenye mechi zilizopita ni kutokana na uwanja waliokuwa wanatumia wa Shule ya Sekondari Iyunga na kwamba kwa sasa wamerejea Isyesye, hivyo mchezo na Kagera Sugar watashinda.

Pia amesema anafahamu mchezo huo utakuwa mgumu lakini kutokana na ukame waliopitia hawatakuwa na mzaha katika kupata alama tatu na kurudi kwenye nafasi nzuri.

"Tumeamua kurudi hapa uwanja wa Isyesye kuhakikisha mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar tunashinda, tulipokuwa hali haikuwa nzuri tunataka ushindi Jumamosi na kukaa nafasi nzuri, vijana wako fiti kila mmoja ana ari na morari kubwa," amesema Lule.

Timu hizo zinakutana ikiwa Mbeya City wamekusanya pointi 25 nafasi ya tano, huku Kagera Sugar wakiwa na alama 21 nafasi ya tisa baada ya pande zote kucheza mechi 17.

[QUOTE="Amir, post: 1218, member: 20"] [HEADING=1]Mbeya City waipeleka Kagera Sugar ilipofia Simba[/HEADING] [IMG alt="mbeya pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3741976/landscape_ratio16x9/1160/652/bf408486a9ade8371fbd8dc8630047fa/ud/mbeya-pic.jpg[/IMG] [B]Mbeya[/B]. Baada ya kutumia zaidi ya masaa matatu kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar, Mbeya City imefichua kilichowaangusha katika mechi zake tatu za nyuma, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mathias Lule akisema amepata dawa. City ilikuwa na matokeo mazuri ikiwamo kuzisimamisha timu kubwa, Simba, Yanga na Azam kwa kuvuna jumla ya pointi tano kwa miamba hao wa soka nchini lakini kwa sasa kasi yao imeonekana kupungua haswa kufululiza sare nyingi. Timu hiyo ya jijini hapa mara ya mwisho kushinda mechi yake ilikuwa Januari 20 ilipoinyuka Ruvu Shooting bao 1-0 kwenye uwanja wa Sokoine na tangu hapo imekuwa ni sare na kupoteza. Katika mechi nne za mwisho, timu hiyo imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Namungo mabao 2-0 kisha suluhu dhidi ya Yanga sawa na Mbeya Kwanza na sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons. Katika mechi hizo, timu hiyo ilikuwa ikijifua kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Iyunga,huku matokeo ya ushindi ikiwamo Simba walipoichakaza bao 1-0 walikuwa wameweka kambi viwanja vya Isyesye ambapo sasa wamerudi tena kujiwinda dhidi ya Kagera Sugar. Akizungumza baada ya mazoezi ya leo Jumatano yaliyofanyika kwenye uwanja wa Isyesye, Lule amesema kukosa ushindi kwenye mechi zilizopita ni kutokana na uwanja waliokuwa wanatumia wa Shule ya Sekondari Iyunga na kwamba kwa sasa wamerejea Isyesye, hivyo mchezo na Kagera Sugar watashinda. Pia amesema anafahamu mchezo huo utakuwa mgumu lakini kutokana na ukame waliopitia hawatakuwa na mzaha katika kupata alama tatu na kurudi kwenye nafasi nzuri. "Tumeamua kurudi hapa uwanja wa Isyesye kuhakikisha mchezo ujao dhidi ya Kagera Sugar tunashinda, tulipokuwa hali haikuwa nzuri tunataka ushindi Jumamosi na kukaa nafasi nzuri, vijana wako fiti kila mmoja ana ari na morari kubwa," amesema Lule. Timu hizo zinakutana ikiwa Mbeya City wamekusanya pointi 25 nafasi ya tano, huku Kagera Sugar wakiwa na alama 21 nafasi ya tisa baada ya pande zote kucheza mechi 17. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom