Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Namungo Wadai Ubingwa Msimu Huu ni Wao

KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema wao ndio watakaokuwa mabingwa mwisho wa msimu hata kama watu hawawapi nafasi.

Julio amesema, kila mechi ambayo wanakwenda kuicheza kwa sasa itakuwa ni kama fainali, kwa sababu wanahitaji kupata alama tatu ambazo zitawafanya wawe mabingwa mwisho wa msimu.

Namungo wanakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi 25, ambazo ni 20 nyuma ya vinara Yanga wenye pointi 45.

Akizungumza na Championi Ijumaa Julio aliweka bayana mipango yao ya kutaka ubingwa kwa kuwa wamekuwa na mipango madhubuti ya kuona hilo lengo lao linatimia kwa kuwa uwezo wa kufanya hivyo na nia wanayo.

“Namungo tunautaka ubingwa na tutaupata msimu huu, nimekuwa nikiwaambia watu kuhusu hiki mara kwa mara. Uwezo wa kufanya hivyo tunao kwa sababu ndiyo malengo tuliyojiwekea tangu tuchukue timu hii,” alisema Julio.

[QUOTE="mhariri, post: 1231, member: 122"] [HEADING=1]Namungo Wadai Ubingwa Msimu Huu ni Wao[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/NAMUNGO.png[/IMG] KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema wao ndio watakaokuwa mabingwa mwisho wa msimu hata kama watu hawawapi nafasi. Julio amesema, kila mechi ambayo wanakwenda kuicheza kwa sasa itakuwa ni kama fainali, kwa sababu wanahitaji kupata alama tatu ambazo zitawafanya wawe mabingwa mwisho wa msimu. Namungo wanakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, wakiwa na pointi 25, ambazo ni 20 nyuma ya vinara Yanga wenye pointi 45. Akizungumza na Championi Ijumaa Julio aliweka bayana mipango yao ya kutaka ubingwa kwa kuwa wamekuwa na mipango madhubuti ya kuona hilo lengo lao linatimia kwa kuwa uwezo wa kufanya hivyo na nia wanayo. “Namungo tunautaka ubingwa na tutaupata msimu huu, nimekuwa nikiwaambia watu kuhusu hiki mara kwa mara. Uwezo wa kufanya hivyo tunao kwa sababu ndiyo malengo tuliyojiwekea tangu tuchukue timu hii,” alisema Julio. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom