Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

DODOMA JIJI YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0 JAMHURI

WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na Joram Mgeveke dakika ya 26 na Anuary Jabir dakika ya 48 na kwa ushindi huo, wanafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya 11, wakati Mbeya Kwanza wanabaki na pointi zao 14 katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 18.

Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="vuligate, post: 1243, member: 123"] [HEADING=2]DODOMA JIJI YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0 JAMHURI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiZFZC9ILHfuax_G1-fzVuXhPrR1jbg2bLeKSiKfH9pVobCd8HANqJWnfRPyLCU8bEFO-pyecDXuyj3PUjz1ap_ISnQzSeujzFmzyqm2fi1JyVvycxZsews69sW6naRDp3I6gqDcm5JDEmo1RWiQf3WGGZxMhBs7VUvtffg4OZQCe3ydMQzhQalJyTl=s1242'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiZFZC9ILHfuax_G1-fzVuXhPrR1jbg2bLeKSiKfH9pVobCd8HANqJWnfRPyLCU8bEFO-pyecDXuyj3PUjz1ap_ISnQzSeujzFmzyqm2fi1JyVvycxZsews69sW6naRDp3I6gqDcm5JDEmo1RWiQf3WGGZxMhBs7VUvtffg4OZQCe3ydMQzhQalJyTl=w640-h576[/IMG][/URL] WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na Joram Mgeveke dakika ya 26 na Anuary Jabir dakika ya 48 na kwa ushindi huo, wanafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya 11, wakati Mbeya Kwanza wanabaki na pointi zao 14 katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 18. Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom