Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Prisons wajikoki kiafande kuikabili Biashara

KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, Biashara itakuwa nyumbani kuwakaribisha maafande hao wa Magereza wanaoburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo.

Prisons na Biashara zote zipo katika hatari ya kushuka daraja, hivyo kila timu itahitaji pointi tatu muhimu ili kujiweka eneo salama.

Prisons ipo nafasi ya mwisho kwenye msimamo ikiwa na pointi 13 huku Biashara ikiwa nafasi ya 13 kwa alama 16. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Prisons, Jackson Luka Mwafulango, amesema kikosi chao kipo tayari kuweza kufanya vizuri kwenye mchezo huo.

“Tunacheza na Biashara, maandalizi yapo vizuri na kikosi chote kilichosafiri kipo salama na tumejipanga kuchukua alama tatu muhimu kwenye mchezo huo ili tuweze kuwa kwenye nafasi nzuri Ligi Kuu Bara,” alisema Mwafulango.

[QUOTE="Amir, post: 1250, member: 20"] [HEADING=1]Prisons wajikoki kiafande kuikabili Biashara[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/prisons-3.jpg[/IMG] KIKOSI cha Tanzania Prisons, kimejiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho Jumanne kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, Biashara itakuwa nyumbani kuwakaribisha maafande hao wa Magereza wanaoburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo. Prisons na Biashara zote zipo katika hatari ya kushuka daraja, hivyo kila timu itahitaji pointi tatu muhimu ili kujiweka eneo salama. Prisons ipo nafasi ya mwisho kwenye msimamo ikiwa na pointi 13 huku Biashara ikiwa nafasi ya 13 kwa alama 16. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa Habari wa Prisons, Jackson Luka Mwafulango, amesema kikosi chao kipo tayari kuweza kufanya vizuri kwenye mchezo huo. “Tunacheza na Biashara, maandalizi yapo vizuri na kikosi chote kilichosafiri kipo salama na tumejipanga kuchukua alama tatu muhimu kwenye mchezo huo ili tuweze kuwa kwenye nafasi nzuri Ligi Kuu Bara,” alisema Mwafulango. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom