Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MCHAKATO UJENZI UWANJA WA KISASA DODOMA WAIVA

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amesema kuwa kuanzishwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Michezo na kutengwa kwa asilimia tano ya fedha za Bahati Nasibu kumesaidia maendeleo ya michezo nchini.

Kauli hiyo imetolewa Machi 16, 2022 Mji wa Serikali-Mtumba Jijini Dodoma Waziri Mchengerwa alipokuwa akieleza mafanikio ya wizara yake kwa kipindi cha mwaka mmoja madarakani mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

“Hadi Februari mwaka huu kiasi cha TZS Bilioni 1.55 kimepokelewa kutoka Hazina. Fedha hizi zimeanza kusaidia maendeleo mbalimbali ya michezo nchini na zitasaidia pia katika programu za uendelezaji wa miundombinu.”

Sambamba na hilo Mheshimiwa Mchengerwa alibainisha kuwa katika mwaka mmoja huu, serikali imekamilisha hatua muhimu za ujenzi wa miundombinu ya michezo ikiwemo kukamilika usanifu wa uwanja wa soka wa Dodoma, kukamilika usanifu wa ujenzi wa viwanja vya mazoezi na kupumzikia wananchi vitakavyojengwa Dar es Salaam, Dodoma na Geita.

Akiyataja mafanikio mengine ya wizara hii alisema kuwa jumla ya TZS Bilioni 19 zitatumika kukarabati shule 58 za michezo na kuwekewa miundombinu mbalimbali ya kisasa.

Waziri Mchengerwa alisema kuwa nchi ya Tanzania, Novemba mwaka 2021 ilipata bahati ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Soka kwa Walemavu Afrika (CANAF-2021) ambapo pamoja na kupokea takribani nchi 13 kutoka Afrika, Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Walemavu, Tembo Warriors, ilikuwa miongoni mwa Timu nne zilizofuzu kutoka Afrika kwenda Kombe la Dunia Uturuki Oktoba mwaka huu.

[QUOTE="mhariri, post: 1266, member: 122"] [HEADING=2]MCHAKATO UJENZI UWANJA WA KISASA DODOMA WAIVA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjfpGWqT9mVtZoC0UzxKcY0S7VgIMpWoOxOsgxTqgSvIxHfDCke3uuzgPhM9HYyDvB1Rhyg0RNtUyvI417liA8_ncdb0im3yFbDtCoMfiWn8_GLBpL7qWViAtUf0wPt6ng2nrPT_68AvV22pf_uo2WABJp2hrcBom5pDH5EvcParGDLVlhR4BuiOr5q=s866'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjfpGWqT9mVtZoC0UzxKcY0S7VgIMpWoOxOsgxTqgSvIxHfDCke3uuzgPhM9HYyDvB1Rhyg0RNtUyvI417liA8_ncdb0im3yFbDtCoMfiWn8_GLBpL7qWViAtUf0wPt6ng2nrPT_68AvV22pf_uo2WABJp2hrcBom5pDH5EvcParGDLVlhR4BuiOr5q=w640-h428[/IMG][/URL] WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amesema kuwa kuanzishwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Michezo na kutengwa kwa asilimia tano ya fedha za Bahati Nasibu kumesaidia maendeleo ya michezo nchini. Kauli hiyo imetolewa Machi 16, 2022 Mji wa Serikali-Mtumba Jijini Dodoma Waziri Mchengerwa alipokuwa akieleza mafanikio ya wizara yake kwa kipindi cha mwaka mmoja madarakani mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. “Hadi Februari mwaka huu kiasi cha TZS Bilioni 1.55 kimepokelewa kutoka Hazina. Fedha hizi zimeanza kusaidia maendeleo mbalimbali ya michezo nchini na zitasaidia pia katika programu za uendelezaji wa miundombinu.” [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEghkcztzWYvcUXK9nuE4B66iwamc_3cgXCzzcaTNy6-tZdUDgYwT-BvzWHj5RKYkI7e2n5baWFDy4XcQJ16n6wp5ML6d9HyWXcrw2yhFSAPzqa2bfODjZ0eXFZhEigiHZdafShTkwOlQw2zGq2rYKg5zVjK5bonU70PUm6DJz-JCsIHEukpOgtooqSp=s1074'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEghkcztzWYvcUXK9nuE4B66iwamc_3cgXCzzcaTNy6-tZdUDgYwT-BvzWHj5RKYkI7e2n5baWFDy4XcQJ16n6wp5ML6d9HyWXcrw2yhFSAPzqa2bfODjZ0eXFZhEigiHZdafShTkwOlQw2zGq2rYKg5zVjK5bonU70PUm6DJz-JCsIHEukpOgtooqSp=w640-h428[/IMG][/URL] Sambamba na hilo Mheshimiwa Mchengerwa alibainisha kuwa katika mwaka mmoja huu, serikali imekamilisha hatua muhimu za ujenzi wa miundombinu ya michezo ikiwemo kukamilika usanifu wa uwanja wa soka wa Dodoma, kukamilika usanifu wa ujenzi wa viwanja vya mazoezi na kupumzikia wananchi vitakavyojengwa Dar es Salaam, Dodoma na Geita. Akiyataja mafanikio mengine ya wizara hii alisema kuwa jumla ya TZS Bilioni 19 zitatumika kukarabati shule 58 za michezo na kuwekewa miundombinu mbalimbali ya kisasa. Waziri Mchengerwa alisema kuwa nchi ya Tanzania, Novemba mwaka 2021 ilipata bahati ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Soka kwa Walemavu Afrika (CANAF-2021) ambapo pamoja na kupokea takribani nchi 13 kutoka Afrika, Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Walemavu, Tembo Warriors, ilikuwa miongoni mwa Timu nne zilizofuzu kutoka Afrika kwenda Kombe la Dunia Uturuki Oktoba mwaka huu. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhwG_IBpjWm-FnqoNMFHWkaKpOsJhT-QnlBsift5ETtd_eDqAMPOSCUQJKmQs4wtxbYxcVUhdyMKGCOOMfW5ZqqG_lJN7_l1c_z1-S6a5nuB6nvalPz_Dh0k5vQiKuhy6HP_ag8rbKqAgXDJTk-fH28RwQiF_Sz5s6c3I6eVoIeWgRn4lZ2deB5WHbh=s949'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhwG_IBpjWm-FnqoNMFHWkaKpOsJhT-QnlBsift5ETtd_eDqAMPOSCUQJKmQs4wtxbYxcVUhdyMKGCOOMfW5ZqqG_lJN7_l1c_z1-S6a5nuB6nvalPz_Dh0k5vQiKuhy6HP_ag8rbKqAgXDJTk-fH28RwQiF_Sz5s6c3I6eVoIeWgRn4lZ2deB5WHbh=w640-h428[/IMG][/URL] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhgEymDNaLmEbvBwhyrSwxzROiQBI0rolrz-9XKmrr6IfI75f_yFtsKQSyLsRQr8LAxl0e-XDTX5dZpqk21U4Lyq4dlqOJknV5i-CH1a8sJz_2EM-aQfTsTvZDCtql8xFax4_mAQXmp-hud2ma-tOJYiOiT5sxhNUO8v7Sgt74i6VZILbaeG4FmmxNv=s1033'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhgEymDNaLmEbvBwhyrSwxzROiQBI0rolrz-9XKmrr6IfI75f_yFtsKQSyLsRQr8LAxl0e-XDTX5dZpqk21U4Lyq4dlqOJknV5i-CH1a8sJz_2EM-aQfTsTvZDCtql8xFax4_mAQXmp-hud2ma-tOJYiOiT5sxhNUO8v7Sgt74i6VZILbaeG4FmmxNv=w640-h428[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom