Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

PUMZIKA KWA AMANI JOHN POMBE MAGUFULI

MACHI 8 mwaka 2020, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK John Pombe Joseph Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika pambano la watani wa jadi, Yanga ikifuta uteja uliodumu kwa miaka minne mbele ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC baada ya ushindi wa 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Shujaa wa Yanga SC ni leo kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison aliyefunga bao hilo pekee la ushindi dakika ya 44 kwa shuti la mpira wa adhabu kutoka umbali wa mita 25.

Morrison, mchezaji wa zamani wa Heart of Lions, Ashanti Gold za kwao Ghana, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Delhi Dynamos FC ya India na Orlando Pirates ya Afrika Kusini alifunga bao hilo baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na kungo Jonas Gerlad Mkude.

Baada ya msimu huo, Morrison akahamia kwa watani wa jadi, Yanga.

Machi 26, mwaka 2021 Magufuli akafariki dunia na leo Watanzania wanaazimisha mwaka mmoja tangu kifo cha mpendwa wao huyo.

[QUOTE="Amir, post: 1276, member: 20"] [HEADING=2]PUMZIKA KWA AMANI JOHN POMBE MAGUFULI[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEN5lVA73A2iSbQHNQ0XCHW4cd605DxA2xysxv__aJABJVMQYrXwFL1e8fJbzeL4HWF9aOql2zOdk8Vh0O7CCLIKovYCuI5qYaePIuZH5mmUIdziPktr2fcMhteGk8-iOHbBXo0lclSeYXdbQ0LaElqjKUgA4cP5yl0igIpq5AuJLtfAQnJqTjhydu/w640-h426/6584C47E-8D24-467B-800B-9608F9134EF2.jpeg[/IMG] MACHI 8 mwaka 2020, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK John Pombe Joseph Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika pambano la watani wa jadi, Yanga ikifuta uteja uliodumu kwa miaka minne mbele ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC baada ya ushindi wa 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga SC ni leo kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison aliyefunga bao hilo pekee la ushindi dakika ya 44 kwa shuti la mpira wa adhabu kutoka umbali wa mita 25. Morrison, mchezaji wa zamani wa Heart of Lions, Ashanti Gold za kwao Ghana, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Delhi Dynamos FC ya India na Orlando Pirates ya Afrika Kusini alifunga bao hilo baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na kungo Jonas Gerlad Mkude. Baada ya msimu huo, Morrison akahamia kwa watani wa jadi, Yanga. Machi 26, mwaka 2021 Magufuli akafariki dunia na leo Watanzania wanaazimisha mwaka mmoja tangu kifo cha mpendwa wao huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom