Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Gofu European Tour Aprili 7

SERIKALI kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimethibitisha kuwa wenyeji wa mashindano ya Gofu Europe Tour yatakayofanyika Aprili 7 hadi 10 mwaka huu katika viwanja vya Kilimanjaro Jijini Arusha.

Mashindano hayo yana lengo la kuunga mkono wa juhudi ya serikali chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan kuendeleza utalii nchini.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa TGU, Chris Martin alisema ni mara ya kwanza Tanzania kuandaa mashindano hayo makubwa ambayo yatashirikisha mataifa mbalimbali.

Alisema wachezaji 156 wamethibitisha kushiriki mashindano hayo ambapo Tanzania imetoa wachezaji 12, Kenya, Uganda, Rwanda na Malawi kumetoa wachezaji wawili.

“Hapa nchini tutakuwa na wawakilishi 12 kutoka katika klabu tofauti, watakuwepo wachezaji wengine kutoka bara la Ulaya, Asia na mataifa mengine nina imani mashindano haya yatatoa fursa kwa kutangaza utalii wa Tanzani,” alisema Martin.

Alisema TGU imeomba Tanzania kuandaa mashindano haya ambayo mwaka jana yalifanyika nchini Kenya yanatarajia tena kufanyika mwakani kwa mara ya pili kuwa wenyeji.

“Tunaendeleza kampeni ya Royal Tour ambayo Rais wetu Mama Samia ameianzisha kwa ajili ya kutangaza Utalii wa ndani na vitu vinavyopatikana hapa nchini,” alisema Martin.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maendeleo ya Michezo nchini, Yusuph Singo alisema ni jambo nzuri kuona mashindano hayo yanatangaza utalii wa taifa, lakini serikali itakutana na Chama cha TGU kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya mashindano hayo.

“Kwa sasa hatuwezi kuzungumza lolote kwa sababu serikali tuna mpango wa kukutana na uongozi wa Chama cha gofu kwa ajili ya maandalizi ya mashindano baada ya hapo tutatoa tamko kuhusu uwenyeji wa mashindano hayo,” alisema Singo.

Katibu wa maandalizi ya mashindano hayo, Enock Magile alisema sifa za wachezaji ambao watashiri lazima wawe na kiwango kizuri katika rekodi ya mchezo huo.

Alisema watacheza ambao watakuwa na viwango hivyo watapita bila tatizo lolote lile kwa ajili ya kuitangaza taifa na kuonyesha uwezo wao.

[QUOTE="mhariri, post: 1307, member: 122"] [HEADING=1]Gofu European Tour Aprili 7[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/WhatsApp-Image-2022-03-22-at-4.02.41-PM.jpeg[/IMG] SERIKALI kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimethibitisha kuwa wenyeji wa mashindano ya Gofu Europe Tour yatakayofanyika Aprili 7 hadi 10 mwaka huu katika viwanja vya Kilimanjaro Jijini Arusha. Mashindano hayo yana lengo la kuunga mkono wa juhudi ya serikali chini ya Rais, Samia Suluhu Hassan kuendeleza utalii nchini. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa TGU, Chris Martin alisema ni mara ya kwanza Tanzania kuandaa mashindano hayo makubwa ambayo yatashirikisha mataifa mbalimbali. Alisema wachezaji 156 wamethibitisha kushiriki mashindano hayo ambapo Tanzania imetoa wachezaji 12, Kenya, Uganda, Rwanda na Malawi kumetoa wachezaji wawili. “Hapa nchini tutakuwa na wawakilishi 12 kutoka katika klabu tofauti, watakuwepo wachezaji wengine kutoka bara la Ulaya, Asia na mataifa mengine nina imani mashindano haya yatatoa fursa kwa kutangaza utalii wa Tanzani,” alisema Martin. Alisema TGU imeomba Tanzania kuandaa mashindano haya ambayo mwaka jana yalifanyika nchini Kenya yanatarajia tena kufanyika mwakani kwa mara ya pili kuwa wenyeji. “Tunaendeleza kampeni ya Royal Tour ambayo Rais wetu Mama Samia ameianzisha kwa ajili ya kutangaza Utalii wa ndani na vitu vinavyopatikana hapa nchini,” alisema Martin. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maendeleo ya Michezo nchini, Yusuph Singo alisema ni jambo nzuri kuona mashindano hayo yanatangaza utalii wa taifa, lakini serikali itakutana na Chama cha TGU kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya mashindano hayo. “Kwa sasa hatuwezi kuzungumza lolote kwa sababu serikali tuna mpango wa kukutana na uongozi wa Chama cha gofu kwa ajili ya maandalizi ya mashindano baada ya hapo tutatoa tamko kuhusu uwenyeji wa mashindano hayo,” alisema Singo. Katibu wa maandalizi ya mashindano hayo, Enock Magile alisema sifa za wachezaji ambao watashiri lazima wawe na kiwango kizuri katika rekodi ya mchezo huo. Alisema watacheza ambao watakuwa na viwango hivyo watapita bila tatizo lolote lile kwa ajili ya kuitangaza taifa na kuonyesha uwezo wao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom