Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO ZAISHA KWA SARE

MECHI zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo zimemalizika kwa sare, 1-1 Mtibwa Sugar na Kagera Sugar mkoani Morogoro na 0-0 na KMC na Namungo FC Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo uliotangulia mchana, George Chota alianza kuwafungia wenyeji, Mtibwa Sugar dakika ya 37 Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro, kabla ya Erick Mwijage kuisawazishia Kagera Sugar dakika ya 69.

Kwa matokeo hayo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 20 na kusogea nafasi ya 13, wakati Kagera Sugar inafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 19.

KMC baada ya sare ya leo inafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya nane, wakati Namungo FC inatimiza pointi 26, ingawa inabaki nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 19 pia.

[QUOTE="Amir, post: 1353, member: 20"] [HEADING=2]MECHI ZOTE ZA LIGI KUU LEO ZAISHA KWA SARE[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn6yA1eA5Xut-ZiXiCLOEej6TMc0Gnj5zYFdrCUOLrC5Ctr3bCxfv2_sQ573isaxri3Okcv9GJyOEox0LEpPczNGqhr8M33-6yeEKPlepQ3WT_RQ4WxRgeEgULOdkS3xSLAOSbRBHif1oJtKuS6WRKVNeBVtOU9KTipnXuJ9GDk3WLtwg3d-M9MWUy/w640-h418/F12EFABB-34DC-4E49-BA00-0C56776AD70B.jpeg[/IMG] MECHI zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo zimemalizika kwa sare, 1-1 Mtibwa Sugar na Kagera Sugar mkoani Morogoro na 0-0 na KMC na Namungo FC Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo uliotangulia mchana, George Chota alianza kuwafungia wenyeji, Mtibwa Sugar dakika ya 37 Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro, kabla ya Erick Mwijage kuisawazishia Kagera Sugar dakika ya 69. Kwa matokeo hayo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 20 na kusogea nafasi ya 13, wakati Kagera Sugar inafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 19. KMC baada ya sare ya leo inafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya nane, wakati Namungo FC inatimiza pointi 26, ingawa inabaki nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 19 pia. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQcncq50GqdtrFNbDiavaWUdg96ff7ScaXrfUHyMUaZ0mRGImFIOVu8mjXZwNYZGtTRCCTQeCjSlpLhd2uQEuHPO0JFqThoQAleTldAph59H2rKFDp91RGvnBco4uwaklL3AoeCcwyfEQ7KvFqy6F0lJ3emREYeOIv-5OeWGEFmR_Fy3i_YPhVYIww/s1140/5A82D4C2-600E-4D5A-93CD-9F5076188CAF.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQcncq50GqdtrFNbDiavaWUdg96ff7ScaXrfUHyMUaZ0mRGImFIOVu8mjXZwNYZGtTRCCTQeCjSlpLhd2uQEuHPO0JFqThoQAleTldAph59H2rKFDp91RGvnBco4uwaklL3AoeCcwyfEQ7KvFqy6F0lJ3emREYeOIv-5OeWGEFmR_Fy3i_YPhVYIww/w640-h410/5A82D4C2-600E-4D5A-93CD-9F5076188CAF.jpeg[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom