Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

PRISONS YAZINDUKA, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-2 SOKOINE

WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na Jumanne Elfadhili dakika ya 18 na Benjamin Asukile dakika ya 78 na 90 na ushei, wakati ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir dakika ya sita na Salmin Hoza dakika ya 32.

Kwa ushindi huo, Prisons wanafikisha pointi 16 na kusogea nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, wakati Dodoma Jiji wanabaki na pointi zao 21, nafasi ya 12 baada ya timu zote kucheza mechi 19.

Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kusalia Ligi Kuu.

[QUOTE="Amir, post: 1359, member: 20"] [HEADING=2]PRISONS YAZINDUKA, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-2 SOKOINE[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJlOIro-bq2LM99SE_ZGii-5aOLXnJ-gA5rp6Ws-bNuvbYKRbjiFNMyNYaA5tXA01CooQhz3Sk9PS61UrcMpeo3VL2vHytivX4Je7WDmuZfG46PLYef0kU8ai-O8MHyenhyTHXo1Cqbvdf3Ft5holsnLz1Ns0F2SqYl946xs4sB50rZDrQ0hJZYoz0/s1242/0633F89F-0711-4CB0-86E6-5CE8A86231F9.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJlOIro-bq2LM99SE_ZGii-5aOLXnJ-gA5rp6Ws-bNuvbYKRbjiFNMyNYaA5tXA01CooQhz3Sk9PS61UrcMpeo3VL2vHytivX4Je7WDmuZfG46PLYef0kU8ai-O8MHyenhyTHXo1Cqbvdf3Ft5holsnLz1Ns0F2SqYl946xs4sB50rZDrQ0hJZYoz0/w640-h422/0633F89F-0711-4CB0-86E6-5CE8A86231F9.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na Jumanne Elfadhili dakika ya 18 na Benjamin Asukile dakika ya 78 na 90 na ushei, wakati ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir dakika ya sita na Salmin Hoza dakika ya 32. Kwa ushindi huo, Prisons wanafikisha pointi 16 na kusogea nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, wakati Dodoma Jiji wanabaki na pointi zao 21, nafasi ya 12 baada ya timu zote kucheza mechi 19. Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kusalia Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom