Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KIKAO CHA MAAFISA MICHEZO

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa kesho Aprili 5, 2022 anatarajia kuwa Mgeni Rasmi kwenye kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo Tanzania Bara jijini Dodoma.

Hayo yamesemwa leo Aprili 4, 2022 na Katibu Mkuu wa Wizara. Dkt, Hassan Abbasi wakati akiwa Mwenyekiti wa kikao kazi hicho.

Dkt Abbasi amesema kada za maafisa Utamaduni na Michezo ni kada za kimkakati kwa maendeleo ya nchi yetu.

Aidha, amesema kikao kazi hicho kimekuja katika wakati mwafaka ambapo lugha adhimu ya kiswahili imepata msukumo mkubwa duniani na sanaa imekuwa kazi ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa kwenye ajira kwa vijana.

Kwa upande wa Michezo amesema ni wakati ambapo michezo imepiga hatua kubwa.

Ameyataja baadhi ya mambo kuwa ni pamoja na kushiriki kwenye mashindano makubwa ya jumuiya ya madola na mashindano ya dunia ya mpira wa miguu kwa wenye ulemavu.

Ametumia muda huo kuipongeza timu ya simba kwa kufuzu kuingia robo fainali ya mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika.

Kikao hicho kinahudhuriwa pia na wataalam wa kutoka TAMISEMI na kesho wakati wa ufunguzi rasmi kitarushwa mbashara na TBC.

[QUOTE="Amir, post: 1360, member: 20"] [HEADING=2]WAZIRI MKUU MGENI RASMI KIKAO CHA MAAFISA MICHEZO[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTfbLQHTTTacB0vtxnmJAh61UTPSdLhNLb3oIJjedq0wZlJdD0AM88yFRBaQL3iyWCiY5TLs030Ltjtbn8ClUFTFQ0RLtj68omEaQ7CNpU8Ay8xeZhUswmbTlUw0Pho370uCxQth_A-aXaXuwWZajvOd8TY297C3hHf3S31S144y1ZpfA-kZwjAwWI/s1242/IMG-6823.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTfbLQHTTTacB0vtxnmJAh61UTPSdLhNLb3oIJjedq0wZlJdD0AM88yFRBaQL3iyWCiY5TLs030Ltjtbn8ClUFTFQ0RLtj68omEaQ7CNpU8Ay8xeZhUswmbTlUw0Pho370uCxQth_A-aXaXuwWZajvOd8TY297C3hHf3S31S144y1ZpfA-kZwjAwWI/w640-h448/IMG-6823.jpg[/IMG][/URL] WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa kesho Aprili 5, 2022 anatarajia kuwa Mgeni Rasmi kwenye kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo Tanzania Bara jijini Dodoma. Hayo yamesemwa leo Aprili 4, 2022 na Katibu Mkuu wa Wizara. Dkt, Hassan Abbasi wakati akiwa Mwenyekiti wa kikao kazi hicho. Dkt Abbasi amesema kada za maafisa Utamaduni na Michezo ni kada za kimkakati kwa maendeleo ya nchi yetu. Aidha, amesema kikao kazi hicho kimekuja katika wakati mwafaka ambapo lugha adhimu ya kiswahili imepata msukumo mkubwa duniani na sanaa imekuwa kazi ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa kwenye ajira kwa vijana. Kwa upande wa Michezo amesema ni wakati ambapo michezo imepiga hatua kubwa. Ameyataja baadhi ya mambo kuwa ni pamoja na kushiriki kwenye mashindano makubwa ya jumuiya ya madola na mashindano ya dunia ya mpira wa miguu kwa wenye ulemavu. Ametumia muda huo kuipongeza timu ya simba kwa kufuzu kuingia robo fainali ya mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika. Kikao hicho kinahudhuriwa pia na wataalam wa kutoka TAMISEMI na kesho wakati wa ufunguzi rasmi kitarushwa mbashara na TBC. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom