Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

WIZARA YA MICHEZO YAANZISHA TAMASHA

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanzisha Tamasha la kimkakati la Mtaa kwa Mtaa kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa katika sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa lengo la kuibua vipaji vya vijana na kuviendeleza na kutoa ajira kwa vijana nchini.

Wizara imekuja na mkakati huo kuhakikisha nchi nzima kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kunakuwa na uwakilishi kutoka mikoa yote nchini na hatimaye Taifa Cup ambayo itahusisha mikoa yote nchini ili kuimarisha uzalendo na uchumi miongoni mwa jamii.

Akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo Aprili 4, 2022 jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara hiyo ni ya kimkakati na ni muhimu kwa taifa ambapo amewahimiza washiriki hao kuchapa kazi kwa kuzingatia Ilani ya Uchaguzi ya 2020-205, Dira ya Maendeleo ya Taifa na Miongozo ya Viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.

"Twendeni tukachape kazi, tukatangaze utamaduni wetu ili kuuendeleza kwa vijana wetu, kuongeza mapato na kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla" amesema Dkt. Abbasi.

Akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo, Mkutugenzi wa Maendeleo ya Michezo mchini Bw. Yusuph Singo amesema dhana ya mtaa kwa mtaa katika sekta ya michezo imegawanyika katika maeneo matatu.

Mitaa hiyo ni mtaa iliyoainishwa kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), mtaa wa pili unahusisha michezo katika taasisi ikiwemo UMITASHUMTA, UMISSETA, SHIMIWI, UMISEVUTA, SHIMUTA na mtaa wa tatu unajumuisha mashirikisho ya michezo.

[QUOTE="Amir, post: 1361, member: 20"] [HEADING=2]WIZARA YA MICHEZO YAANZISHA TAMASHA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYoh7Ae2aq744mhK5ABIkdv5gP423ZXCH8JdO5xmC37jn2EjQ4v-Fu426nE1PIaDBCmsCGDsOCsIH1SV8wDl89ziE1rungGKHwy5Cj9GTKC-MGtUF-0xbgJRcfedFEB_dH6LksU-iQYe_TVtnmOzCx3PEkWNN16zP1PTxhqlZwji5nyQthD2zoqJCa/s1242/IMG-6822.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYoh7Ae2aq744mhK5ABIkdv5gP423ZXCH8JdO5xmC37jn2EjQ4v-Fu426nE1PIaDBCmsCGDsOCsIH1SV8wDl89ziE1rungGKHwy5Cj9GTKC-MGtUF-0xbgJRcfedFEB_dH6LksU-iQYe_TVtnmOzCx3PEkWNN16zP1PTxhqlZwji5nyQthD2zoqJCa/w640-h420/IMG-6822.jpg[/IMG][/URL] WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanzisha Tamasha la kimkakati la Mtaa kwa Mtaa kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa katika sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa lengo la kuibua vipaji vya vijana na kuviendeleza na kutoa ajira kwa vijana nchini. Wizara imekuja na mkakati huo kuhakikisha nchi nzima kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kunakuwa na uwakilishi kutoka mikoa yote nchini na hatimaye Taifa Cup ambayo itahusisha mikoa yote nchini ili kuimarisha uzalendo na uchumi miongoni mwa jamii. Akizungumza na washiriki wa kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo Aprili 4, 2022 jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara hiyo ni ya kimkakati na ni muhimu kwa taifa ambapo amewahimiza washiriki hao kuchapa kazi kwa kuzingatia Ilani ya Uchaguzi ya 2020-205, Dira ya Maendeleo ya Taifa na Miongozo ya Viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. "Twendeni tukachape kazi, tukatangaze utamaduni wetu ili kuuendeleza kwa vijana wetu, kuongeza mapato na kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla" amesema Dkt. Abbasi. Akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo, Mkutugenzi wa Maendeleo ya Michezo mchini Bw. Yusuph Singo amesema dhana ya mtaa kwa mtaa katika sekta ya michezo imegawanyika katika maeneo matatu. Mitaa hiyo ni mtaa iliyoainishwa kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), mtaa wa pili unahusisha michezo katika taasisi ikiwemo UMITASHUMTA, UMISSETA, SHIMIWI, UMISEVUTA, SHIMUTA na mtaa wa tatu unajumuisha mashirikisho ya michezo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom