Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NAMUNGO YAICHAPA RUVU 3-1 ILULU

WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Mabao ya Namungo FC yamefungwa na David Molinga ‘Falcao’ dakika ya 11, Hashim Manyanya dakika 35 na Emmanuel Charles dakika ya 88, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Saadat Mohamed dakika ya 64.

Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 29 katika mchezo wa 20 na kupanda nafasi ya tatu, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 21 za mechi 20 pia nafasi y 12.

Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, bao la Oscar Paul dakika ya saba limeipa Tanzania Prisons limeipa ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Prisons inafikisha pointi 19 katika mchezo wa 20, ingawa inabaki nafasi ya 15, ikiizidi pointi Mbeya Kwanza baada ya wote kucheza mechi 20.

Ikumbukwe mwishoni mwa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="Amir, post: 1416, member: 20"] [HEADING=2]NAMUNGO YAICHAPA RUVU 3-1 ILULU[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYTDZlVKHKbJLLNSQIucimT0yYKxjzni_sno4R8v4eBoDl6XrPXl41nXysEd1GIM7Q9K__0yyHsRkRII7vGy8WqABm5qOUCnYACjalhiXLbhl1P1e_8Cbn2InNR8wuI3RE7ZpVO97VIHy3-5nO-Gsx4dQyptCK3s_jzOsdihj93vNSFw9CPOYK73N5/s1352/C565A8D4-329E-4C7B-A802-0EE108E85561.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYTDZlVKHKbJLLNSQIucimT0yYKxjzni_sno4R8v4eBoDl6XrPXl41nXysEd1GIM7Q9K__0yyHsRkRII7vGy8WqABm5qOUCnYACjalhiXLbhl1P1e_8Cbn2InNR8wuI3RE7ZpVO97VIHy3-5nO-Gsx4dQyptCK3s_jzOsdihj93vNSFw9CPOYK73N5/w588-h640/C565A8D4-329E-4C7B-A802-0EE108E85561.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi. Mabao ya Namungo FC yamefungwa na David Molinga ‘Falcao’ dakika ya 11, Hashim Manyanya dakika 35 na Emmanuel Charles dakika ya 88, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Saadat Mohamed dakika ya 64. Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 29 katika mchezo wa 20 na kupanda nafasi ya tatu, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake 21 za mechi 20 pia nafasi y 12. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, bao la Oscar Paul dakika ya saba limeipa Tanzania Prisons limeipa ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Prisons inafikisha pointi 19 katika mchezo wa 20, ingawa inabaki nafasi ya 15, ikiizidi pointi Mbeya Kwanza baada ya wote kucheza mechi 20. Ikumbukwe mwishoni mwa msimu timu mbili zitashuka moja kwa moja na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom