Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MTIBWA SUGAR YAIBAMIZA DODOMA JIJI 2-1 JAMHURI

WENYEJI, Dodoma Jiji FC jana wamechapwa mabao 2-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ dakika ya tisa na Mururi Mayanja Brian dakika ya 26, wakati bao pekee la Dodoma Jiji lilifungwa na Khamis Mcha ‘Vialli’ dakika ya 83.

Mtibwa Sugar inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya nne, wakati Dodoma Jiji FC wanabaki na pointi zao 21 za mechi 21 sasa nafasi ya 14.

Katika mchezo uliotangulia Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, wenyeji Kagera Sugar walilazimishwa sare ya 0-0 na KMC.

Kagera Sugar inafikisha pointi 26 nafasi ya tano na KMC pointi 24 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 20.

[QUOTE="Amir, post: 1418, member: 20"] [HEADING=2]MTIBWA SUGAR YAIBAMIZA DODOMA JIJI 2-1 JAMHURI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJPB2-4XSOndsTpeYxeW2UWJi2E3mYwSa7cAx1FrDhkmKkyEyOQ_ezKONIregvO06befu88G5M5Bn-MHUdbzRhzDblsnq4UFt0fXJ5w3WnIFWaTiUd-o5x3dXVFyUA7yBuRrYv9X9jeX2fWXOSpOHj7biMD5GCst0h44Q5puSdNTauYEUWhp4amm7I/s1242/7F4907D2-4F09-4D22-BB3F-4AFFF1EB0AD0.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJPB2-4XSOndsTpeYxeW2UWJi2E3mYwSa7cAx1FrDhkmKkyEyOQ_ezKONIregvO06befu88G5M5Bn-MHUdbzRhzDblsnq4UFt0fXJ5w3WnIFWaTiUd-o5x3dXVFyUA7yBuRrYv9X9jeX2fWXOSpOHj7biMD5GCst0h44Q5puSdNTauYEUWhp4amm7I/w640-h410/7F4907D2-4F09-4D22-BB3F-4AFFF1EB0AD0.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Dodoma Jiji FC jana wamechapwa mabao 2-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ dakika ya tisa na Mururi Mayanja Brian dakika ya 26, wakati bao pekee la Dodoma Jiji lilifungwa na Khamis Mcha ‘Vialli’ dakika ya 83. Mtibwa Sugar inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya nne, wakati Dodoma Jiji FC wanabaki na pointi zao 21 za mechi 21 sasa nafasi ya 14. Katika mchezo uliotangulia Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, wenyeji Kagera Sugar walilazimishwa sare ya 0-0 na KMC. Kagera Sugar inafikisha pointi 26 nafasi ya tano na KMC pointi 24 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 20. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom