Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MBEYA KWANZA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 SONGEA

WENYEJI, wahamiaji Mbeya Kwanza wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.

Mabao ya Mbeya Kwanza leo yamefungwa na Hamisi Kanduru dakika ya 26 na Willy Edgar dakika ya 90 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 21, ingawa inaendelea kushika mkia katika ligi ya timu 16, ikizidiwa pointi moja na ndugu zao, Tanzania Prisons ya Mbeya nayo, ambayo pia ina mechi moja mkononi.

Coastal Union baada ya kipigo cha leo inabaki na pointi zake 21 za mechi 21 na kushukia nafasi ya 14.

Mbali ya timu mbili kushuka moja kwa moja mwishoni mwa msimu, mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania

[QUOTE="Amir, post: 1438, member: 20"] [HEADING=2]MBEYA KWANZA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 SONGEA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvbJSbUkQLq6RqOlmijP0hhpdfieFs4973nhUYC_FzrIeVshZznVx04J1jfqNx1bqcgeRtwKM2PWItgwaHc2BYav_ZAkBN1x6ulUaqGVZAx1WVxpfyH-W1w_mnjAPFuwhfKzIkR1Arp_b7zPfxO_soijmwXq3BlmWYPtKKpToXwrvSiTxxA_0Vf5FW/s1062/EA634A1B-6258-4FAE-8E1F-62275E7E789E.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvbJSbUkQLq6RqOlmijP0hhpdfieFs4973nhUYC_FzrIeVshZznVx04J1jfqNx1bqcgeRtwKM2PWItgwaHc2BYav_ZAkBN1x6ulUaqGVZAx1WVxpfyH-W1w_mnjAPFuwhfKzIkR1Arp_b7zPfxO_soijmwXq3BlmWYPtKKpToXwrvSiTxxA_0Vf5FW/w640-h388/EA634A1B-6258-4FAE-8E1F-62275E7E789E.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, wahamiaji Mbeya Kwanza wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma. Mabao ya Mbeya Kwanza leo yamefungwa na Hamisi Kanduru dakika ya 26 na Willy Edgar dakika ya 90 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 18 katika mchezo wa 21, ingawa inaendelea kushika mkia katika ligi ya timu 16, ikizidiwa pointi moja na ndugu zao, Tanzania Prisons ya Mbeya nayo, ambayo pia ina mechi moja mkononi. Coastal Union baada ya kipigo cha leo inabaki na pointi zake 21 za mechi 21 na kushukia nafasi ya 14. Mbali ya timu mbili kushuka moja kwa moja mwishoni mwa msimu, mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom