Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

GEITA GOLD YAILAMBA KMC 2-0 NYANKUMBU

WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita.

Mabao ya Geita Gold ya kocha Freddy Felix Minziro yamefungwa na Amos Charles dakika ya 48 na George Mpole dakika ya 75 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 27 katika mchezo wa 20 na kupanda nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja na Azam FC ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi.

KMC baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake 24 za mechi 21 ikishukia nafasi ya tisa.

[QUOTE="Amir, post: 1439, member: 20"] [HEADING=2]GEITA GOLD YAILAMBA KMC 2-0 NYANKUMBU[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMRk1Ji_D2BIeI9NZPjC2UwVXyuf_gkMBlFfm3Yn3GezTeg6zFk82OBgdeUc5bmxaYCXK8HFK22YdH7Cg0cwsPM6pKiuuYq8_zoJgerCqGHWNwwfscDuTZKfmipJ4vY3jM7PS8hhw8fbkkrqID6OgBkEoNK3hEfAyz7WgCJUi9_v18gpIhOfbgzGSI/s1242/B37FD082-16A4-46DC-AA24-12D8F540673A.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMRk1Ji_D2BIeI9NZPjC2UwVXyuf_gkMBlFfm3Yn3GezTeg6zFk82OBgdeUc5bmxaYCXK8HFK22YdH7Cg0cwsPM6pKiuuYq8_zoJgerCqGHWNwwfscDuTZKfmipJ4vY3jM7PS8hhw8fbkkrqID6OgBkEoNK3hEfAyz7WgCJUi9_v18gpIhOfbgzGSI/w640-h546/B37FD082-16A4-46DC-AA24-12D8F540673A.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Geita Gold wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita. Mabao ya Geita Gold ya kocha Freddy Felix Minziro yamefungwa na Amos Charles dakika ya 48 na George Mpole dakika ya 75 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 27 katika mchezo wa 20 na kupanda nafasi ya tano, ikizidiwa pointi moja na Azam FC ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi. KMC baada ya kichapo cha leo inabaki na pointi zake 24 za mechi 21 ikishukia nafasi ya tisa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom