Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MBEYA KWANZA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0

BAO la penalti la Deo Minga dakika ya 75 limetosha kuipa Mbeya Kwanza ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.

Mbeya Kwanza inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 22 nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, ikiizidi wastani wa mabao tu Coastal Union inayoshika mkia, ingawa ina mechi moja mkononi.

Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 22 za mechi 22 sasa nafasi ya 14.

Ikumbukwe timu mbili zitateremka daraja mwishoni mwa msimu na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="Amir, post: 1452, member: 20"] [HEADING=2]MBEYA KWANZA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0kRZ53md8a-RsRKv2mLAXs5JkpVtRJinHqeJes4eODALayiP8dEbXYgANP4dzQ1nHKsFaH_96vpo4rWfgF2JicC3yONYnRzkUbAcgVsK_xLdXBjwBUpJ7doRpcTR1fEtHJIM4Q3uQIXggRPzp7emqb9gXfDzVkcyIhPERfmHACGsscfA9uOdP2yeE/s1242/5BCD67FE-5AAD-4D9A-B814-27028B9A92A0.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0kRZ53md8a-RsRKv2mLAXs5JkpVtRJinHqeJes4eODALayiP8dEbXYgANP4dzQ1nHKsFaH_96vpo4rWfgF2JicC3yONYnRzkUbAcgVsK_xLdXBjwBUpJ7doRpcTR1fEtHJIM4Q3uQIXggRPzp7emqb9gXfDzVkcyIhPERfmHACGsscfA9uOdP2yeE/w640-h410/5BCD67FE-5AAD-4D9A-B814-27028B9A92A0.jpeg[/IMG][/URL] BAO la penalti la Deo Minga dakika ya 75 limetosha kuipa Mbeya Kwanza ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma. Mbeya Kwanza inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 22 nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, ikiizidi wastani wa mabao tu Coastal Union inayoshika mkia, ingawa ina mechi moja mkononi. Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 22 za mechi 22 sasa nafasi ya 14. Ikumbukwe timu mbili zitateremka daraja mwishoni mwa msimu na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom