Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA SIMBA LINDI

WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 2-2 na mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Mabao ya Namungo ambayo mara mbili ilitangulia dhidi ya wazoefu wa Robo Fainali ya michuano ya klabu Afrika yamefungwa na Jacob Masawe dakika ya nane na Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 54, wakati ya Simba yamefungwa na Shomari Kapombe dakika ya 42 na Kibu Dennis dakika ya 79.

Namungo wanafikisha pointi 30 katika mchezo wa 32, ingawa wanabaki nafasi ya tatu wakizidiwa pointi 13 na Simba ambao imecheza mechi ya 21 leo sawa na watani wao, Yanga wanaoongiza Ligi kwa pointi zao 55.

[QUOTE="Amir, post: 1456, member: 20"] [HEADING=2]NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA SIMBA LINDI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjP99fTaphz39Htvekkvx66mF6ZOE3GwYvKPxzXUq7OarB1xUYGl-2XLjZnIbD4z-hapevmvSGxx7a02Bo3rMVnj3k7U2eAduRs0bicUgjuJmcALdfB6nDy4Qs0pEiJirk2qWa57ylXJWWWwsRYkTjdqffKnZ6wb4VlAoZ-IWFxq7ugNidy6c9FTlnU/s1242/99E7F944-06DC-4368-9E98-F691689DF2A0.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjP99fTaphz39Htvekkvx66mF6ZOE3GwYvKPxzXUq7OarB1xUYGl-2XLjZnIbD4z-hapevmvSGxx7a02Bo3rMVnj3k7U2eAduRs0bicUgjuJmcALdfB6nDy4Qs0pEiJirk2qWa57ylXJWWWwsRYkTjdqffKnZ6wb4VlAoZ-IWFxq7ugNidy6c9FTlnU/w640-h426/99E7F944-06DC-4368-9E98-F691689DF2A0.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 2-2 na mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi. Mabao ya Namungo ambayo mara mbili ilitangulia dhidi ya wazoefu wa Robo Fainali ya michuano ya klabu Afrika yamefungwa na Jacob Masawe dakika ya nane na Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 54, wakati ya Simba yamefungwa na Shomari Kapombe dakika ya 42 na Kibu Dennis dakika ya 79. Namungo wanafikisha pointi 30 katika mchezo wa 32, ingawa wanabaki nafasi ya tatu wakizidiwa pointi 13 na Simba ambao imecheza mechi ya 21 leo sawa na watani wao, Yanga wanaoongiza Ligi kwa pointi zao 55. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom