Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RUVU SHOOTING YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 MABATINI

WENYEJI, Ruvu Shooting wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.

Mabao ya Ruvu Shooting yamefungwa na Hamad Majimengi dakika ya 53 na Elias Maguri dakika ya 87 baada ya Geita Gold kutangulia na bao la Offen Chikola dakika ya 24.

Kwa ushindi huo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 25 katika mchezo wa 23 na kusogea nafasi ya 13, wakati Geita Gold inabaki na pointi zake 31 za mechi 23 sasa nafasi ya tano.

[QUOTE="Amir, post: 1467, member: 20"] [HEADING=2]RUVU SHOOTING YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 MABATINI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnYfdp0v7UV0BPuDMt8coxh6sCYUYUVteNcjSKgImZT15ZtpbIztptik5p8c_izrEEFqcxa7aFKIetC9FAJ8s1Tf_GtDaKb7rz8BKYaAZmUxgg48u86nG81WYeF0DEuBKwlwfOVWkidfD3Q1z66SwfayegzAxluZTaW5E023BOGTrJXv8MRctQQPtZ/s1242/8E376B16-E8AC-4B00-BBD5-F05BAD406DE7.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnYfdp0v7UV0BPuDMt8coxh6sCYUYUVteNcjSKgImZT15ZtpbIztptik5p8c_izrEEFqcxa7aFKIetC9FAJ8s1Tf_GtDaKb7rz8BKYaAZmUxgg48u86nG81WYeF0DEuBKwlwfOVWkidfD3Q1z66SwfayegzAxluZTaW5E023BOGTrJXv8MRctQQPtZ/w640-h444/8E376B16-E8AC-4B00-BBD5-F05BAD406DE7.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Ruvu Shooting wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. Mabao ya Ruvu Shooting yamefungwa na Hamad Majimengi dakika ya 53 na Elias Maguri dakika ya 87 baada ya Geita Gold kutangulia na bao la Offen Chikola dakika ya 24. Kwa ushindi huo, Ruvu Shooting inafikisha pointi 25 katika mchezo wa 23 na kusogea nafasi ya 13, wakati Geita Gold inabaki na pointi zake 31 za mechi 23 sasa nafasi ya tano. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom