Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KMC YACHAPA MTIBWA SUGAR 3-2 UHURU

WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya KMC yamefungwa na Matheo Anthony mawili dakika ya 21 na 81 na Hassan Kessy dakika ya 73, wakati ya Mtibwa Sugar yamefungwa na George Makang'a dakika ya 13 na Ismail Mhesa kwa penalti dakika ya 41.

Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya 10, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 27 nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 23, wakitofautiana tu wastani wa mabao.

[QUOTE="Amir, post: 1468, member: 20"] [HEADING=2]KMC YACHAPA MTIBWA SUGAR 3-2 UHURU[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyHh4W1Om0ye093yH0h3DEcmCK_k3rvv42eZZQDzwa0T7FDVLYbprHVopOmHwetUiBQ9U-MJYgZdZfS9EjJQ6kCe5Ut9NJhimAlsvaxQdl5YSlwSjbUDsbBjOrDaziuaiWuQEwuzrKmnKEY1o23vRuoowtDHcWRm8p8g0F_zYKDYQwydshqNbCvMlO/s1176/A25A024C-1A83-4782-9A44-08DB8CAFD605.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyHh4W1Om0ye093yH0h3DEcmCK_k3rvv42eZZQDzwa0T7FDVLYbprHVopOmHwetUiBQ9U-MJYgZdZfS9EjJQ6kCe5Ut9NJhimAlsvaxQdl5YSlwSjbUDsbBjOrDaziuaiWuQEwuzrKmnKEY1o23vRuoowtDHcWRm8p8g0F_zYKDYQwydshqNbCvMlO/w640-h424/A25A024C-1A83-4782-9A44-08DB8CAFD605.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mabao ya KMC yamefungwa na Matheo Anthony mawili dakika ya 21 na 81 na Hassan Kessy dakika ya 73, wakati ya Mtibwa Sugar yamefungwa na George Makang'a dakika ya 13 na Ismail Mhesa kwa penalti dakika ya 41. Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya 10, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 27 nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 23, wakitofautiana tu wastani wa mabao. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom