Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KICHUYA APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO YAILAZA BIASHARA 2-1 NYAMAGANA

NAMUNGO FC imewachapa wenyeji, Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.

Mabao ya Namungo FC yote yamefungwa na Shiza Ramadhani Kichuya dakika ya tisa na 67, wakati la Biashara United limefungwa na Ambroce Awio dakika ya 85.

Namungo FC inafikisha pointi 36 na kupanda nafasi ya tatu, ikiizidi pointi mbili Geita Gold baada ya wote kucheza mechi 24, wakati Biashara United inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 sasa ikishukia nafasi ya 13.

Ligi Kuu inashirikisha jumla ya timu 16 na mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="vuligate, post: 1478, member: 123"] [HEADING=2]KICHUYA APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO YAILAZA BIASHARA 2-1 NYAMAGANA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmq8gapE_kvxlSEZJV6La_SQIE7-GJ9IpI5co7ZIY8AeVP_3TRPI7ie5MPvsvvl5we3m2ZMA2bnRI1aBcKfN_ysZqeF1Nem2_36J8n6-mwmV7J562wAMJyAWJPipCFEslIGoCZvvUhoFlrz3fpopgladAzwSQz7TyeLDN-lzFpRcP2KqdWAGFy3JGE/s1414/2A0DD4FB-F532-40EF-9AD7-931B440E54C5.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmq8gapE_kvxlSEZJV6La_SQIE7-GJ9IpI5co7ZIY8AeVP_3TRPI7ie5MPvsvvl5we3m2ZMA2bnRI1aBcKfN_ysZqeF1Nem2_36J8n6-mwmV7J562wAMJyAWJPipCFEslIGoCZvvUhoFlrz3fpopgladAzwSQz7TyeLDN-lzFpRcP2KqdWAGFy3JGE/w562-h640/2A0DD4FB-F532-40EF-9AD7-931B440E54C5.jpeg[/IMG][/URL] NAMUNGO FC imewachapa wenyeji, Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza. Mabao ya Namungo FC yote yamefungwa na Shiza Ramadhani Kichuya dakika ya tisa na 67, wakati la Biashara United limefungwa na Ambroce Awio dakika ya 85. Namungo FC inafikisha pointi 36 na kupanda nafasi ya tatu, ikiizidi pointi mbili Geita Gold baada ya wote kucheza mechi 24, wakati Biashara United inabaki na pointi zake 23 za mechi 24 sasa ikishukia nafasi ya 13. Ligi Kuu inashirikisha jumla ya timu 16 na mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom