Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MPOLE AFUNGA BAO LA 13 GEITA YAIDIDIMIZA MBEYA KWANZA SONGEA

MSHAMBULIAJI George Mpole amefunga bao la 13 la msimu, timu yake Geita Gold ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Maji Maji Jijini Songea mkoani Ruvuma.

Mpole alifunga bao hilo pekee dakika ya 12 na kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi 34 na kupanda nafasi ya nne, ikizidiwa pointi mbili na Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 24.

Mbeya Kwanza hali inazidi kuwa tete baada ya kichapo cha leo, ikibaki na pointi zake 21 za mechi 24 na sasa inashika mkia kwenye ligi ya timu 16.

[QUOTE="vuligate, post: 1480, member: 123"] [HEADING=2]MPOLE AFUNGA BAO LA 13 GEITA YAIDIDIMIZA MBEYA KWANZA SONGEA [/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVgUy-0sHFwurRPHFLwXPue8J3hY9BxQGmlMEY3QS6v3IH-Fc1yOIhnFHOqzUMXMyp204KRflGfHEPlYXIQJt3ttjcepo_tl-bBxJdz3Q_tuO9WnYNBnA26waU6p_HG3xKpBh7O0suw70UP1QU02WsQ9jyn38G5DhDd3uqjxiQsF9Ue0ZeaJ7AU8Sy/s1242/1529BCAC-7FE4-49A2-99EE-C2AF08DCDE68.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVgUy-0sHFwurRPHFLwXPue8J3hY9BxQGmlMEY3QS6v3IH-Fc1yOIhnFHOqzUMXMyp204KRflGfHEPlYXIQJt3ttjcepo_tl-bBxJdz3Q_tuO9WnYNBnA26waU6p_HG3xKpBh7O0suw70UP1QU02WsQ9jyn38G5DhDd3uqjxiQsF9Ue0ZeaJ7AU8Sy/w640-h620/1529BCAC-7FE4-49A2-99EE-C2AF08DCDE68.jpeg[/IMG][/URL] MSHAMBULIAJI George Mpole amefunga bao la 13 la msimu, timu yake Geita Gold ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Maji Maji Jijini Songea mkoani Ruvuma. Mpole alifunga bao hilo pekee dakika ya 12 na kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi 34 na kupanda nafasi ya nne, ikizidiwa pointi mbili na Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 24. Mbeya Kwanza hali inazidi kuwa tete baada ya kichapo cha leo, ikibaki na pointi zake 21 za mechi 24 na sasa inashika mkia kwenye ligi ya timu 16. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom