Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE

WENYEJI, Tanzania Prisons wamegawana pointi na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Jeremiah Juma alianza kuifungia Tanzania Prisons dakika ya 38, kabla ya Danby Lyanga kuisawazishia Geita Gold dakika ya 50.

Kwa matokeo hayo, Prisons inafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya 14, wakati Geita Gold pamoja na kufikisha pointi 36 inabaki nafasi ya tano baada ya wore kucheza mechi 26.

[QUOTE="vuligate, post: 1497, member: 123"] [HEADING=2]PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhl1wL9Ite3fCNhHyIx-EHmvnKnK1QV6H3UbB1h0dutRGT39th95FvMgDFI7tonFqg30PmnECOPdm7MekRXk9C5b7in1SjBAaZkk-Q_lKDcnd1nH8mP09RjZGpzp8Wf_yohlMFp3dmpI51Hor3nn8OHvvPskhzQcFfuLbavaGtouIMyYgxKXUehd7oW/s924/geitagoldfc~p~CeBbtDIKhs2~1.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhl1wL9Ite3fCNhHyIx-EHmvnKnK1QV6H3UbB1h0dutRGT39th95FvMgDFI7tonFqg30PmnECOPdm7MekRXk9C5b7in1SjBAaZkk-Q_lKDcnd1nH8mP09RjZGpzp8Wf_yohlMFp3dmpI51Hor3nn8OHvvPskhzQcFfuLbavaGtouIMyYgxKXUehd7oW/w640-h424/geitagoldfc~p~CeBbtDIKhs2~1.jpg[/IMG][/URL] WENYEJI, Tanzania Prisons wamegawana pointi na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Jeremiah Juma alianza kuifungia Tanzania Prisons dakika ya 38, kabla ya Danby Lyanga kuisawazishia Geita Gold dakika ya 50. Kwa matokeo hayo, Prisons inafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya 14, wakati Geita Gold pamoja na kufikisha pointi 36 inabaki nafasi ya tano baada ya wore kucheza mechi 26. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom