Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE NA MTIBWA 1-1 MABATINI

[ATTACH=full]309[/ATTACH]

WENYEJI, Ruvu Shooting wamelazimishwa sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.

Ruvu walitangulia kwa bao la Abalkassim Suleiman Ali dakika ya 78, kabla ya Ibrahim Ame Mohamed kuisawazishia Mtibwa dakika ya 82.

Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 11 baada ya mechi 12, Mtibwa ikiwa nafasi ya 11 kutokana na kuizidi Ruvu wastani wa mabao, ambayo inabaki nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16.

Ikumbukwe mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="mhariri, post: 396, member: 122"] [HEADING=2]RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE NA MTIBWA 1-1 MABATINI[/HEADING] [ATTACH type="full"]309[/ATTACH] WENYEJI, Ruvu Shooting wamelazimishwa sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. Ruvu walitangulia kwa bao la Abalkassim Suleiman Ali dakika ya 78, kabla ya Ibrahim Ame Mohamed kuisawazishia Mtibwa dakika ya 82. Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 11 baada ya mechi 12, Mtibwa ikiwa nafasi ya 11 kutokana na kuizidi Ruvu wastani wa mabao, ambayo inabaki nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16. Ikumbukwe mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom