Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BIASHARA YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA KAGERA MUSOMA

WENYEJI, Biashara United wamelazimishwa sare ya 3-3 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.

Mabao ya Biashara yamefungwa na Collins Opare kwa penalti dakika ya 49, Baron Oketchi dakika ya 81 na Ambrose Awio dakika ya 83, wakati ya Kagera yamefungwa na Meshack Mwamita dakika ya kwanza, Erick Mwijage dakika ya 33 na David Luhende dakika ya 90 na ushei.

Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 10, Kagera inaendelea kushika mkia mechi 11 na Biashara juu yake nafasi yake ya 15 mechi 12 sasa.

[QUOTE="mhariri, post: 412, member: 122"] [HEADING=2]BIASHARA YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA KAGERA MUSOMA [/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhE3Nb4j2DfkWz-61gnZVZ-fKTjJZChDa7DSeSssYARnzKplcCYmrl7-jYYq1wn02BuDlwt1_mbmpi6_OAVy4Gw7QCtQJfQZ6LdRlzDDMU4hxXoIJ5_C8c5iDSeW0qco_kaQ2NsU63CQcju9KlZYQQ-Z0CHeTSpLfDXN5ZgHtOMSUO4B6I7ISRIYnXD=s1242'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhE3Nb4j2DfkWz-61gnZVZ-fKTjJZChDa7DSeSssYARnzKplcCYmrl7-jYYq1wn02BuDlwt1_mbmpi6_OAVy4Gw7QCtQJfQZ6LdRlzDDMU4hxXoIJ5_C8c5iDSeW0qco_kaQ2NsU63CQcju9KlZYQQ-Z0CHeTSpLfDXN5ZgHtOMSUO4B6I7ISRIYnXD=s16000[/IMG][/URL] WENYEJI, Biashara United wamelazimishwa sare ya 3-3 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara. Mabao ya Biashara yamefungwa na Collins Opare kwa penalti dakika ya 49, Baron Oketchi dakika ya 81 na Ambrose Awio dakika ya 83, wakati ya Kagera yamefungwa na Meshack Mwamita dakika ya kwanza, Erick Mwijage dakika ya 33 na David Luhende dakika ya 90 na ushei. Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 10, Kagera inaendelea kushika mkia mechi 11 na Biashara juu yake nafasi yake ya 15 mechi 12 sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ligi Kuu Thread
Top
Bottom